Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Atafunga kwa nafasi zipi sasa! Goli alilofunga vs Bayern ni pasi kutoka kwa Rashford. Goli lililokataliwa vs Brighton ni pasi kutoka kwa Rashford.Kuanzia aanze kucheza sioni madhara yake kama namba9 kiukweli hata nafasi anazopata nyingi anaishia kushika kichwa
We need clinical no9 sio mambo ya weghost tena.
Wingers zetu butu, kiungo hakimiliki mpira. Pia, wachezaji wenzake ni kama hawamuamini, rejea alivyokuja Ronaldo ilikuwa kila mpira anapewa yeye kutokana na profile yake. Hata Højlund wakimuamini wenzake ata-improve.