Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_16948906687533012.jpg
 
Ukweli usemwe uongozi una shida, wamiliki shida na shida zaidi ni 10hag jamaa mweupe sana kimbinu Wala sio Siri hamna game plan sub anafanya za mazoea sio tactical yani anafanya sub kuongeza nguvu sio kwamba wanaenda kubadilisha kitu.

Kocha yuko na ego na hiyo ndo itamuondoa Manchester, ugomvi na wachezaji, anapanga position tofauti kina Bruno kocha maneno mengi kama hadija kopa ila kudeliver 0.

Kuna mda nilikua nafurahi zile pasi za Brighton zinavyopigwa ingawa roho inaumaa ila wanafurahisha kuangalia.
 
Misimu miwili kocha hata Hana playing style ni papatu papatu iwe Timu ndogo iwe kubwa style hiyo hiyo.
Tutalaumu glazzer lakini wale hawafundishi mpira Wana matatizo yao ila kocha nakosa Imani nae sasa hivi.
 
Nawakaribisha kwenye hii Space kujadili game ya Manure tuna Wataalam mbalimbali hapa utafurahi mwenyewe.
Screenshot_20230916-212644.jpg
 
Nisikilize Mimi kocha Ni uwezo mdogo

Mtaendelea kujificha kwenye kichaka Cha Grazzer family Hadi lini
Mimi ni Shabiki wa Liverpool Mzee, huku nakujaga Kutoa Mawazo tu na Kuwacheka Man U,

Ivi jamaa hat wew Fikiria Man utd wamebadilisha Makocha kibao Tangu Ferguson Kustaafu lakin hakun hat Mmoja aliyewasaidia Kushinda UEFA Na Premier League,

Kipindi hicho Ferguson Anastaafu Sisi liverpool Tulikuwa na Kocha wetu Rafael Benitez akafata Brendan Rodgers, na Sasa ivi Jurgen Klopp.

Kwa takwimu hizo kwahyo kwel tatizo la Man utd bado unaamin ni Kocha Tu ?? Yani inamaana Makocha zaidi ya Wanne wa Man utd wote walkuw na Matatizo ???
 
Back
Top Bottom