halafu ukute dogo kweli hata fainali ya uefa 99 hakuangalia live anaskia story tuWewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.
halafu ukute dogo kweli hata fainali ya uefa 99 hakuangalia live anaskia story tuWewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.
Mashabiki ndio mnamuona hafai kabisa ,kwamba ni wa Bei Chee,West ham wametuma ofa ya paundi millioni 20 kwa ajili ya harry maguire, man utd wameikataa ofa hiyo.
Chanzo: david ornstein
Kuna dogo mmoja wa Arsenal huwa anatukana watu ajabu siku hiyo nikaona anasema mwaka 2018 ndio alimaliza form four nikashangaa anapata wapi ujasiri wa kutukana humu kina baba zake.Wewe dogo umekuja kasi sana. Hebu punguza kuwatukana watu. Hujui kama kuna watu humu umri wa baba au babu yako halafu wewe unawaita hawana akili randomly.
Kwa timu inayocheza back 3, harry maguire ni mchezaji sahihi sana.Mashabiki ndio mnamuona hafai kabisa ,kwamba ni wa Bei Chee,
Juz vs Madrid alikuwa anazomewa
Hata kwa back 4 yenye kipa sweeper mtamuona yupo vzr tu, Geoff Lea mpaka kesho anaamini Maguire ni beki mzuri ila ameangushwa na mifumo ya timuKwa timu inayocheza back 3, harry maguire ni mchezaji sahihi sana.
Huo ni ujinga hata ingekuwa million 4 ningechukuaWest ham wametuma ofa ya paundi millioni 20 kwa ajili ya harry maguire, man utd wameikataa ofa hiyo.
Chanzo: david ornstein
Dah hii ni habari mbaya kwa dogo hata msimu uliopita alipata injury ya kumweka nje kwa nusu msimu.Manchester United can confirm that Kobbie Mainoo suffered an ankle injury during the match against Real Madrid on Tour 2023. The midfielder is expected to be ruled out for the first part of the 2023/24 season.
So saa hizi ikitokea kabaki anaweza kupambania namba na Varane!Hata kwa back 4 yenye kipa sweeper mtamuona yupo vzr tu, Geoff Lea mpaka kesho anaamini Maguire ni beki mzuri ila ameangushwa na mifumo ya timu
Westham walitaka watumie advantage hii wakati mnamuona hafai wampate kwa Bei ndogo ,
Inatafutwa hela ya kumchukua Hojlund. Na ukizingatiwa Maguire alinunuliwa kwa hela nyingi awezi kuuzwa kwa hela ndogo. Kuna habari nilisoma Man u inataka angalau 40So saa hizi ikitokea kabaki anaweza kupambania namba na Varane!
Naona akibakia maana West Ham hawawezi kutoa €50m United inayoitaka
Wewe kuangalia fainaili ya 99' haifanyi mawazo ya kipuuzi tuungane nayohalafu ukute dogo kweli hata fainali ya uefa 99 hakuangalia live anaskia story tu
Inatafutwa hela ya kumchukua Hojlund. Na ukizingatiwa Maguire alinunuliwa kwa hela nyingi awezi kuuzwa kwa hela ndogo. Kuna habari nilisoma Man u inataka angalau 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi mzuri sana huu. Maguire ni mbaya akicheza karibu sana na goli ila akichezea mbali hana madhara yeyote.Mimi ile mech nimeangalia jamaa amewaongezea kitu Cha tofauti
Kuna transition zile huwa mnafanya kuanzia kwa Bruno kwenda kwa Rashford , kupitia pass za onana na anavyosogea Sana juu itakuwa rahisi Sana mipira kufika kwa Bruno au kiungo mwingine na mkafanya shambulizi la hatari hivo Kuna point mtaongeza
Onana anacheza Kama beki kiungo , hapo kaanza kunitisha ,sijui kwanini Chelsea hawakuingilia hili dili mumkose
Sasa hivi hata magwaya mtamuona wa maana