Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_16948906687533012.jpg
 
Ukweli usemwe uongozi una shida, wamiliki shida na shida zaidi ni 10hag jamaa mweupe sana kimbinu Wala sio Siri hamna game plan sub anafanya za mazoea sio tactical yani anafanya sub kuongeza nguvu sio kwamba wanaenda kubadilisha kitu.

Kocha yuko na ego na hiyo ndo itamuondoa Manchester, ugomvi na wachezaji, anapanga position tofauti kina Bruno kocha maneno mengi kama hadija kopa ila kudeliver 0.

Kuna mda nilikua nafurahi zile pasi za Brighton zinavyopigwa ingawa roho inaumaa ila wanafurahisha kuangalia.
 
Nawakaribisha kwenye hii Space kujadili game ya Manure tuna Wataalam mbalimbali hapa utafurahi mwenyewe.
Screenshot_20230916-212644.jpg
 
Nisikilize Mimi kocha Ni uwezo mdogo

Mtaendelea kujificha kwenye kichaka Cha Grazzer family Hadi lini
Mimi ni Shabiki wa Liverpool Mzee, huku nakujaga Kutoa Mawazo tu na Kuwacheka Man U,

Ivi jamaa hat wew Fikiria Man utd wamebadilisha Makocha kibao Tangu Ferguson Kustaafu lakin hakun hat Mmoja aliyewasaidia Kushinda UEFA Na Premier League,

Kipindi hicho Ferguson Anastaafu Sisi liverpool Tulikuwa na Kocha wetu Rafael Benitez akafata Brendan Rodgers, na Sasa ivi Jurgen Klopp.

Kwa takwimu hizo kwahyo kwel tatizo la Man utd bado unaamin ni Kocha Tu ?? Yani inamaana Makocha zaidi ya Wanne wa Man utd wote walkuw na Matatizo ???
 
Kuna matatizo ya wamiliki ,Kama Liverpool ,lakin je Kocha anafanya sehemu yake

Nakupa mfano 7hag katumia £450m anasajili average players wengi huku wengi aliowakuta anaaminisha watu Ni average players na hawajitumi

Kamtumua Erick Baily kamsajili free agent Evans miaka 35

Katapanya €100m kwa Anthony , €70m kwa Casemiro ambaye tulisema humu hawez kutumika zaidi ya misimu miwili

Mpaka Sasa Hana playing style yakueleweka

Mwisho anasajili wachezaji tofauti na anachodai anataka ku impliment

Onana ni GK mzuri tena hayupo bahati mbaya kwenye nominees za ballon dor ,lakin Ni kwa timu based possession

7hag anacheza mpira wa janjajanja , like small team halafu una kipa based possession ambaye sio mzuri kwa shot stopping, unategemea Nini Kama sio dhahama

Haya ni Baadhi tu , Je wamiliki wanahusika vipi hapa

Kwa Pesa wanazotoa Grazzer Mimi kwenye timu yangu nawataka haraka Sana

Wamiliki wanaotoa £200m+ kwa dirisha
 
Back
Top Bottom