wenye akili sahivi hawaongeiSasa kama hamna akili msiambiwe ukweli?
Timu almost ni ileile ndio maana tunaona yaleyale

Kuchukua EPL sio kitu rahisi
Trace back kuanzia chelsea, manchester city na liverpool vikosi vyao vilivyochukua ubingwa ndani ya miaka kumi
Utagundua ni profolic na talent za hali ya juu
Sie tuna
Maguire
Sancho
Martial
macTonomy
Luke shaw
...
Ericksen is aging
Casemiro is aging
Varane ni injury prone
Rashford hakui
Then anakuja mtu anamtukana kocha!
Utachukua ubingwa upi kwa hawa wachezaji?

Nyumbu kumbe walikua wanatucheka et striker nketia kumbe wao wana Martial banaHuyu jamaa cjawahigi muelewa kbs.We jamaa shabiki wa timu gani.
Maana kila timu unaiponda![]()
Kama hukumsapoti Ole ila unamsapoti Eriki na wakati wote mwisho wa msimu wanashika nafasi zile zile hapo tusemeje?Kwa yeyote atakayemvunjia heshima kocha wetu Eric ten hag nitapambana naye
Kuna vitoto humu vinamlaumu kocha kwa lipi?
Upande wa beki varane kaumia
Kiungo sufian amesajiliwa yupo na injury
Antony anakesi hayupo kwenye timu
Luke shaw kaumia
.........
Alafu wanatokea mashabiki wa manchester united wanamsema kocha hafai hivi mna akili nyie?
Mashabiki wa manchester united hatupo hivi
Tulimvumilia kocha mbovu Ole gunner tumepata bahati kocha amekuja anayejitambua vitoto humu vinaandika lugha za kejeli kwa kocha?
Kwangu mimi kocha mbovu kuliko wote aliyekuja kuharibu timu ni Ole gunner!
Amezalisha mitoto gaigoi km kina sancho, martial,bisaka,shaw ronaldo wote hawa walikuwa mizigo kwenye timu at least bisaka amejirekebisha
Unamlaumu kocha kwa kosa gani?
Kwa wachezaji aliowakuta Ten hag hata Pep gurdiola asingefanya kitu
Wachezaji ni overpaid then hawana mchango kwa timu (wenye mishahara ya kawaida ndio wanaisadia timu)
Onana
Antony
Hojlund
Malacia
Butcher
Casemiro
Hawa ni wachezaji waliosajiliwa na kocha na wamenyesho kitu
Vijana km gernacho na Facundo,mejbri bado hawana pumzi ya kucheza week in week out kwa intensity ya Epl ila watu wanasema Marcus akae benchi aanze gernacho! Hivi kweli ndugu zangu tunaangalia mpira?
Unamlaumu vipi kocha aliyekaribia kuchukua ubingwa msimu ulioisha?
Ni kumkosea adabu kumfananisha Eric na makocha wa timu ndogo km kina di zerbi
Mimi namuelewa sana kocha kwasasa amejikita kutafuta matokea uku akiingiza wachezaji anaowataka taratibu
Kumbukeni kloop alikaa misimu minne ndio akachua Epl tena kwa bahati bahati kutokana na corona na ni baada ya kusajili wachezaji zaidi ya 17
Yule bwana mdogo wa arsenal arteta anaenda msimu wa sita hana hata dalili ya kuchukua Epl na amesajili wachezaji 30
Manchester united amepoteza mechi tatu
Ila mechi ambayo amepoteza na nimeridhika ni hii ya brighton ile ya arsenal na Spurs walishinda kibahati bahati tu
Tumpe muda mwalimu, kufanya kazi na wajinga km kina marital,sancho, maguire inahitaji subra tumpe muda mwalimu naamini kabisa atatufikisha nchi ya ahadi
Mashabiki wengi tuliacha kuangalia mpira wakati wa morinyo na ole ila Eric anetirudisha mashabiki uwanjani tumpeni huyu ndugu ushirikiano
Km nimetumia lugha ya kuudhi mniwe radhi
Tusmtukane kocha sitaruhusu hili
Kocha wako anafukuzwa kazi before DecemberKwa yeyote atakayemvunjia heshima kocha wetu Eric ten hag nitapambana naye

Dogo walimkondesha aisee 🙂🙂☺☺
Mamaee hamna timu palee.. Forward hakunaaa.. Beki ndo magwayaaaa.. Katikati vitoto vinarukarukaaa tu ushuziii mtupuuu bora hata Jezi sikununua![]()

Lewis Dunk on Roberto De Zerbi’s play style: hivi huko ku PRESS na Track Back ndio nini??Sancho anasema 7 hag ana double standard
Cr7 alikuwa anafunga magoli akatimuliwa eti hawezi ku press Wala kuunganisha Timu
Does Rashford press? No.
Does Rashford track back? No.
Does Rashford help in the build-up? No.
Is Rashford the highest earner at the club? YES.
You all demanded pressing and tracking back from a 37-year-old player, but now you're not demanding it from a 26-year-old player.
Yani hapo hakuna mzembe kama Jemedari Saidi hapo ni Wabobezi tu kuna huyo Mnazi wenu wa Arsenal kutoka Kenya Welbeast jamaa ana Sarcasm za hatari unaweza kama mshabiki wa Manure unaweza kimbia SpaceHuwa tunakutana wachambuzi nguli watupu kina Alex Goldberg, N.k