Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya baryen Kuna mech Kama 4 hivi za kawaida

Asipopata straight WIN katika hizo mechi , msimu huu mtamaliza nafasi ya Chelsea 12th

Baada ya hizo mech mtakuwa mmepigwa gepu kubwa na top 7 wajuu
 
Hapa wazee tuongee lugha moja. Hatuna kocha haiwezekani kila timu tukicheza nayo tunakuwa sisi ndio hatuna mipango.

ETH anaweza kuwa kocha mzuri lakini hafiki viwango vya EPL.
Sasa hivi a lots of fans ndio wanaanza kuhoji uwezo wa 7 hag

Mech na Arsenal anasema manjesta walicheza very well

Huyu kocha uwezo mdogo

Ole gunar anamzidi mbali Ni vile alisalitiwa tu
 
Mourinho ''I said nine or 10 months ago that after winning eight Championships, finishing second with United may have been my greatest achievement. Now people understand.''
20230916_200648.jpg
 
Ni siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safi kikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha

My prediction

Manchester United 2 vs Brighton 1

11.00 jioni

Old Trafford

hawa watoto tutachapa Sana leo

Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa

Aaaah hakika kitawaramba View attachment 2750708
20230614_111437.jpg
 
Ni mwendo wa 3G tu mpaka Glazers wauze timu, Mayai7 simamia hapohapo kama mashabiki tumeshindwa kufanya migomo kushinikiza timu iuzwe basi tumekuruhusu kocha wetu kutumia hio planB mpaka Mwarabu apewe timu.
Kwanza mpira haramu ni vile tu ibilisi ana nguvu ya ushawishi
tapatalk_1472587482_335x459.jpg
 
Mourinho ''I said nine or 10 months ago that after winning eight Championships, finishing second with United may have been my greatest achievement. Now people understand.''
View attachment 2751382
Watu wanasema Man Utd haina wachezaji, ila ukikumbuka Mourinho alishinda Europa na Phil Jones, hutaamini.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ni mwendo wa 3G tu mpaka Glazers wauze timu, Mayai7 simamia hapohapo kama mashabiki tumeshindwa kufanya migomo kushinikiza timu iuzwe basi tumekuruhusu kocha wetu kutumia hio planB mpaka Mwarabu apewe timu.
Kwanza mpira haramu ni vile tu ibilisi ana nguvu ya ushawishiView attachment 2751407
Nipende kuwaambia tu ndg zng.. Mateso mnayopitia ndo kwnz yameanza.. Mtapitia heka heka had mjue ama kwl dunia duara na kila nyakat na watu wake.

Mliona liver alikaa almost 30 yrs hajui kombe la ligi likoje.. Mkadhan masihara ss nyie 10 tyr msifikir 30 haiwez fika kirahis kuwen makini sana.
 
Ukiangalia timu pinzani unaona wanampango wa goli ila sisi unaona kina Rashford wanakimbiq kimbia tu hawapo kwa ajili ya timu. Yaani ingekuwa enzi ya Sir Ferg Rasford angeshaozea makumbusho.
Rashford mbinafsi sana.
 

Attachments

  • 20230916_205253.jpg
    20230916_205253.jpg
    179.1 KB · Views: 3
  • 20230916_205256.jpg
    20230916_205256.jpg
    40.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom