Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,459
- 7,710
Kocha wa Ball huyo
Umemaliza kila kitu.Kwa yeyote atakayemvunjia heshima kocha wetu Eric ten hag nitapambana naye
Kuna vitoto humu vinamlaumu kocha kwa lipi?
Upande wa beki varane kaumia
Kiungo sufian amesajiliwa yupo na injury
Antony anakesi hayupo kwenye timu
Luke shaw kaumia
.........
Alafu wanatokea mashabiki wa manchester united wanamsema kocha hafai hivi mna akili nyie?
Mashabiki wa manchester united hatupo hivi
Tulimvumilia kocha mbovu Ole gunner tumepata bahati kocha amekuja anayejitambua vitoto humu vinaandika lugha za kejeli kwa kocha?
Kwangu mimi kocha mbovu kuliko wote aliyekuja kuharibu timu ni Ole gunner!
Amezalisha mitoto gaigoi km kina sancho, martial,bisaka,shaw ronaldo wote hawa walikuwa mizigo kwenye timu at least bisaka amejirekebisha
Unamlaumu kocha kwa kosa gani?
Kwa wachezaji aliowakuta Ten hag hata Pep gurdiola asingefanya kitu
Wachezaji ni overpaid then hawana mchango kwa timu (wenye mishahara ya kawaida ndio wanaisadia timu)
Onana
Antony
Hojlund
Malacia
Butcher
Casemiro
Hawa ni wachezaji waliosajiliwa na kocha na wamenyesho kitu
Vijana km gernacho na Facundo,mejbri bado hawana pumzi ya kucheza week in week out kwa intensity ya Epl ila watu wanasema Marcus akae benchi aanze gernacho! Hivi kweli ndugu zangu tunaangalia mpira?
Unamlaumu vipi kocha aliyekaribia kuchukua ubingwa msimu ulioisha?
Ni kumkosea adabu kumfananisha Eric na makocha wa timu ndogo km kina di zerbi
Mimi namuelewa sana kocha kwasasa amejikita kutafuta matokea uku akiingiza wachezaji anaowataka taratibu
Kumbukeni kloop alikaa misimu minne ndio akachua Epl tena kwa bahati bahati kutokana na corona na ni baada ya kusajili wachezaji zaidi ya 17
Yule bwana mdogo wa arsenal arteta anaenda msimu wa sita hana hata dalili ya kuchukua Epl na amesajili wachezaji 30
Manchester united amepoteza mechi tatu
Ila mechi ambayo amepoteza na nimeridhika ni hii ya brighton ile ya arsenal na Spurs walishinda kibahati bahati tu
Tumpe muda mwalimu, kufanya kazi na wajinga km kina marital,sancho, maguire inahitaji subra tumpe muda mwalimu naamini kabisa atatufikisha nchi ya ahadi
Mashabiki wengi tuliacha kuangalia mpira wakati wa morinyo na ole ila Eric anetirudisha mashabiki uwanjani tumpeni huyu ndugu ushirikiano
Km nimetumia lugha ya kuudhi mniwe radhi
Tusmtukane kocha sitaruhusu hili
Guardiola ni Disciple wa Johan Cruyff ambao yeye Arrigo Sacchi na Marcelo Bielsa ni Waanzilishi wa Mifumo mingi ya Kushambulia na kumiliki kwenye Mpira wa Kisasa. Mwalimu alieanzisha INVERTED FB's na RW/LW kwa Mafanikio Makubwa EPL ni ARSENE WENGER, alimsajili LAUREN ETAME MAYER kama RM ila akaja mtumia kama RB, Pundits wa Uingereza kama kawaida yao waliponda ila Mwisho WENGER alitengeneza "INVINCIBLES"Philip Lahm was inverted fullback wakati Guardiola yupo Munich?
Before hii neno halijaanza kuimbwa sana
Kama hukumsapoti Ole ila unamsapoti Eriki na wakati wote mwisho wa msimu wanashika nafasi zile zile hapo tusemeje?
Ole hajamzalisha Sancho.
Kama kocha wenu alikua na Luke Shaw peke yake kwanini hakusajili back up?
Antony ana magoli mangapi msimu ulioisha?
Onana katika hizi mechi 5 klashafungwa magoli mangapi?
Erik anacheza game plan ipi? Kwa wachezaji alionaoj hawezi badilisha game plan ya sasa?
Kwanini aliamua kusajili wachezaji wakiwa majeruhi? Kulikua hakuna mbadala?
Amrabat ataleta nini kipya ambacho Casemiro na Scot hawawezi?
Kwanini ilitoka 70M kwaajili ya kiungo mwenye miaka 30?
Weghorst alikuja kwa kazi gani? Sabitzer?
[emoji23][emoji23][emoji23]Carasco Putin ni shabiki kindakindaki wa Arsenyo, yeye mwenyewe hua anajiita kijukuu cha Wenger, ni mzee wa Teta ball burudani kwa wote.Huyu jamaa cjawahigi muelewa kbs.
Wegho na Sab walikua wa muda mfupi.Kuhusu casemiro kocha hakuwa na options kwasababu alikuwa anamtaka de jong as a first options
Na alikuwa na mazungumzo binafsi na mchezaji ila mke wa mchezaji hakupenda kuondoka jiji la barcelona ( wenzetu wazungu wanajali sana ustawi wa familia hasa mke na watoto) kwa hiyo akawa ame cancel
Km unavyojua kwasasa kumpata mchezaji ambaye anaweza ku deliver kuanzia namba 6,8,10 imekuwa mtihani
Casemiro ilikuwa option sahihi ya tatizo la muda mfupi
ila ada yake ilikuwa kubwa kutokana na kumfuata dirisha likiwa dakika za mwisho
Wegho na sab walikuwa temporary kutokana na wachezaji wengi kuwa injury
Na hawa hawakuwa first options
Ole gunner ndio aliharibu wachezaji wa manchester united alikuwa anaongoza wachezaji kama watoto wa shemeji uko uwanjani kina pogba walikuwa wanachelewa mazoezi yeye anawakenulia tu
Inawezekana ole Gunner ndio kocha mwenye IQ ndogo zaidi kuwahi kupita manchester united,ndio maana mpaka leo hana timu
jana alianzisha uzi wa simba halafu wahuni wakawa wanamtafuta awape updates.[emoji23][emoji23][emoji23]Carasco Putin ni shabiki kindakindaki wa Arsenyo, yeye mwenyewe hua anajiita kijukuu cha Wenger, mzee wa Teta ball burudani kwa wote. View attachment 2752116