Umeanza sasa lol
mtoto wa Arsenal anaonekana mzuri.... Wenger anatakiwa amlete msimu ujao
according to shehe Nursin Kishk.. kushabikia mpira ni ukafiri.. je nawe ni kafiri!!???
n.b... sorrh kwa wengne hili swali ni maalum kwa Ally Kombo
vipi wajameni matokeo huko.au man u keshapakatwa nin?
RVP amekuwa mzigo!!!!amebaki maneno tu anatakiwa akae nje. leo wacheze watu wa juhudi tu akina VALENCIA,WELBECK,YOUNG hawa wanajituma sana hata kama hawana talent kivile
De Gea, shikamoo....
Sijui tungekuwa wapi bila ya wewe...
..mbili...tuendelee kuhesabu jamani
Tatizo tukivuka hapa,mbele kiama!! timu hii tia maji tia maji
Tatizo tukivuka hapa,mbele kiama!! timu hii tia maji tia maji