Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi, leo tukishinda na kupita kwa ushindi mnono, sifa ziende kwa kocha ama wachezaji?
 
Hii ndiyo Man U ninayoijua hata hivyo nataman Man U ifungwe ili MOYES tumtupilie nje kabisa agrrrr
 
Inabidi tupate la 4 fasta...isije yakatokea ya Porto ya Maureen, pale 1-0 ya United ikawa 1-1 ya Porto dakika za mwisho kabisa...nakumbuka Maureen alikimbia uwanja mzima akionyesha dole la kati...
 
Hawa wagiriki wasiruhusiwe kucheza kabisa...nafikiri DM angefanya sub sasa...Fellaini aingie kwa Giggs...maana vijamaa vinatawala kati pale..
 
Back
Top Bottom