hahaaaaa mimi naamin hiki kipindi cha man u kudrop.. hali hii isingeepukika hata angekuwepo SAF.
sikubaliani nawewe!

I hope leo tutapata ushindi but Moyes anapaswa kufanya maamuzi magumu leo Chicharito aanze badala ya RVP then viungo waanze Carick,Felaini na Kagawa
sikubaliani nawewe!
ww furahia ushindi wa leo alafu ukakutane na BARCA!!!
teh! teh!
i wish David Moyes angekuwapo kwenye ile ndege ya malaysia iliyopotea!
.........na angekuwapo ktk ile ndege ningeombea isipatikane milele!

MKUU unaanza kuomba huruma mapema sio mwendo ni ule ule wakunyolewa na hii ndio Mara yenu ya mwisho kucheza uefa mtaanza kuisikia bombani kwa misim kazaaaaaa.
go man u go man u go
hakika fergerson kawaingiza cha kike kwa huyu Moyes hana hadhi na sifa ya kufundisha tim za top 5 za ligi.