Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Valencia anaisaidia sana timu ila kwa kulinda afya yake inabidi atoke ili akatibiwe, amevimba sana jicho lake la kushoto
 
Nafikiri hii game ili tuwe na amani, Fellaini na Kagawa inabidi waingie. Giggs na RvP watoke mwanzoni tu wa kipindi cha pili.
 
Kona kuelekea olimpiakos, anapiga RVP paleee gooo la hapana kona tena
 
Back
Top Bottom