Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Olymp wamekuja na wrong tactics za kulinda magoli yao.. watatolewa my opinion
 
valencia kashaumia itabidi atoke tu kwa shida half time. hizo sub mbili zilizobaki definitely itabidi atoke kwanza giggs aingie felaini. sub ya mwisho itabidi kwenye dakika kuanzia ya 75. kuumia kwa valencia kumeharibu kila kitu.
Nafikiri hii game ili tuwe na amani, Fellaini na Kagawa inabidi waingie. Giggs na RvP watoke mwanzoni tu wa kipindi cha pili.
 
Inabidi man u tuwapelekeshe sana hawa olimpiakos hadi wakae 4 kwa bila kabisa
 
Hawa wagiriki naona wameona buti ndio dawa ya kuzuia kufungwa!!
 
mtoto wa Arsenal anaonekana mzuri.... Wenger anatakiwa amlete msimu ujao
 
vipi wajameni matokeo huko.au man u keshapakatwa nin?
 
Back
Top Bottom