Manchester United (Red Devils) | Special Thread

 
Mechi nne Goli NANE, bado tunapata ujasiri wa kumtetea golikipa kama huyu, mwisho wa msimu tukijakua na - ve GD tutaanza kushikana uchawi
Kwa ukuta wa kina Maguire hata aje kipa gani - ve GD haiepukiki.
Maguire ana magoli na assists nyingi kwenye goli la timu yake kuliko mchezaji yoyote tokea kuanzishwa kwa Epl[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maguire ni foward by nature ni vile makocha tu wanaforce kumchezesha CB, huyu mwamba akipangiwa hata msimu mmoja tu kucheza pale mbele lazima achukue kiatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

 







[emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maguire amekuwa mbuzi wa kafara vipi kocha wenu hajui hilo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hojlund sijamkataa ila takwimu zake zinaonesha mwanga

Kumbuka Anthony masebene alianza kwa kufunga na ikasemwa humu Ni new Arjen Rooben
Eti masebene[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…