Yah tumeziona hizo nne 🤣Wala usiwe na shaka. Fulham atawapiga 3-0 au 4-0 na nyie mtakuwa chini ya Manyumbu.
Siyo chuki. Mimi huwa niko upande wenu ila sitakagi kabisa kuwaona top 4 wala hata top 10. Mimi nataka mmalize nafasi ya 17 na negative goal difference. Sitaki tu mshuke daraja. Ningekuwa na chuki si ningetaka mshushwe kabisa daraja?BRUNO FERNANDES ni player of the season
Hii tuzo wapiga kura ni wachezaji pekee huchagua, sio mashabiki Wala waandishi.
Haiitaki kuelezea sana jinsi alivyostahili alifanya kazi kubwa msimu uliopita.
Class yake ni permanent, msimu huu najua atatufaa sana na tutakuwa bora zaidi coz tunawachezaji wazuri
Hope tutakuwa mabingwa au nafasi ya pili.
mashabiki wenye chuki mnatutoa mpaka top four 😅😅 kisa game Moja ya ufunguzi
DaaahSiyo chuki. Mimi huwa niko upande wenu ila sitakagi kabisa kuwaona top 4 wala hata top 10. Mimi nataka mmalize nafasi ya 17 na negative goal difference. Sitaki tu mshuke daraja. Ningekuwa na chuki si ningetaka mshushwe kabisa daraja?
Kweli upo upande wao aiseeSiyo chuki. Mimi huwa niko upande wenu ila sitakagi kabisa kuwaona top 4 wala hata top 10. Mimi nataka mmalize nafasi ya 17 na negative goal difference. Sitaki tu mshuke daraja. Ningekuwa na chuki si ningetaka mshushwe kabisa daraja?
Timu ilikua inamtegea Maguire kwenye kukabaHivi tumefungwaje wakuu🤔🤔🤔🤔🤔
Kuhusu ubora shaw Yuko vizuri, labda shida ni injury prone...lakini nahisi tutasajili beki ya kushoto na back up striker kabla dirisha halijafungwa.fuentte Bagabeach Mr Mike NtYga niliwahi kusema Manchester United kuanza ligi na kucheza UEFA championship league tukiwa na shaw bila kusajili beki wa kushoto tutakuja kuhaibika ikitokea tumepangwa na bayern au Barcelona. Sasa yametimia mpaka sasa hatujasajili beki ya kushoto. Luke shaw vs Michael olise hapa kusipokua na red card sijui tu.
Mkuu kuna mda tuwe seriously shaw tunae tangu 2015 kama sikosei. Niambie uzuri wa shaw uko wapi kwa mpira wa sasa napia uniambie kwa huo uzuri alionao kama ataweza kumdhibiti olise. Ishu siyo Carrick tu hata ineos sijui wanawaza nini mpaka sasa. Nina imani nao wana hofu maana mambo yakienda ndivyo sivyo wao ndio wa kwanza kulaumiwa nasio kuja kumwangushia Carrick lawama.Kuhusu ubora shaw Yuko vizuri, labda shida ni injury prone...lakini nahisi tutasajili beki ya kushoto na back up striker kabla dirisha halijafungwa.
Saiv inshu ni carrick tu lkn kikosi kipo
Olise ameshacheza dhidi ya man utd, na sidhani kama kuna mechi ambayo hajafunga.Mkuu kuna mda tuwe seriously shaw tunae tangu 2015 kama sikosei. Niambie uzuri wa shaw uko wapi kwa mpira wa sasa napia uniambie kwa huo uzuri alionao kama ataweza kumdhibiti olise. Ishu siyo Carrick tu hata ineos sijui wanawaza nini mpaka sasa. Nina imani nao wana hofu maana mambo yakienda ndivyo sivyo wao ndio wa kwanza kulaumiwa nasio kuja kumwangushia Carrick lawama.
Mpaka sasa ukimtoa Lewis hall unaona ni beki gani wa kushoto anaefaa kuja unitedOlise ameshacheza dhidi ya man utd, na sidhani kama kuna mechi ambayo hajafunga.
Olise sasa hivi ni tatizo kwa beki yoyote, ila kwaajili ya kuongeza intensity ya timu, inabidi wasajili LB wa kuingia moja kwa moja kwenye mfumo.
Baada ya hapo ni CB mmoja wa uhakika, Anyway Man utd ataingia kama underdog kwenye hiyo mechi.
Left backs wapo wengi, japo inafaa zaidi EPL proven km hall, lkn wanaofaa wapo wengiMpaka sasa ukimtoa Lewis hall unaona ni beki gani wa kushoto anaefaa kuja united
Ngoja tuone mda utaongeaLeft backs wapo wengi, japo inafaa zaidi EPL proven km hall, lkn wanaofaa wapo wengi
Castello lukeba wa rb Leipzig ni top notch, pia tuna madogo wapo academy wanaoweza kusaidia plus Patrick dorgu
Level umlifikia ni mbaya wenzenu wanafanya Usajili wa maana nyinyi mmelizika baadae hatutaki lawamaKuhusu ubora shaw Yuko vizuri, labda shida ni injury prone...lakini nahisi tutasajili beki ya kushoto na back up striker kabla dirisha halijafungwa.
Saiv inshu ni carrick tu lkn kikosi kipo
Hapa sioni wa level yenu mnayemmudu. Labda kidoogo huyo Saba sijui nane. Ila wengine wote watawachapa kinoma na mtashika mkia kundi lenu.Tutapiga kama ngomaView attachment 3658512
Huna Cha kutushauri kuhusu UEFA wewe arsenalHapa sioni wa level yenu myayemmudu. Labda kidoogo huyo Saba sijui nane. Ila wengine wote watawachapa kinoma na mtashika mkia kundi lenu.