Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji23][emoji23][emoji23] beki mwenyewe ni Magalasa, alikua anapelekewa moto mpaka anakaba kwa mikono.View attachment 2738747
Hapa kuna mtu sijui sasa rashford na anthony kama wataweza kwenda nae sambamba wakiacha ubinafsi hili ni tatizo pale mbele ni moto haswaa kuna beki jana kaacha mpira kamdaka mwili mzima kwenye 18
Rasmus Højlund
Tena hii ilikua penalt kabisa lakini kwa masikitiko makubwa refa na chumba cha VAR wote jana waliibetia Arsenyo hawakua tayari kuchana mikeka yao.