clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Punguza hasira mkuu ,mbona nyie mlikuwa na mdomo ,hasira za niniView attachment 2738043
Huyu kipa ni comedi tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza hasira mkuu ,mbona nyie mlikuwa na mdomo ,hasira za niniView attachment 2738043
Huyu alifaa awe kiungoHuyu kipa ni comedi tupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumepoteza 3-1 bro, hakuna positivity yyte ukisha poteza, tutaendelea kujifariji mpaka lini? Mwenzetu wanaondoka na point tatu si tunapiga ndulu tu
Kama unaona vile mmejitahidi Basi bado mna safari ndefu
Alifichwa na dalot[emoji1787][emoji1787]View attachment 2738320
Kwahiyo kumbe shida yako ulitaka mfungwe dakika za mwanzo ?Arsena hawana tofauti na brighton nakuhakikishia ni timu ya daraja la kati unaweza kubisha kishabiki ila ukikaa chini ukatuliza akili hamna mchezaj ambae unaweza kusema huyu ni top player iliwachukua dakika 96 kufurukuta mbele ya evans na maguire katikati akiwa eriksen
Wadanganye tu wenzio , Brighton anakuja kuwapiga za kutoshaArsena hawana tofauti na brighton nakuhakikishia ni timu ya daraja la kati unaweza kubisha kishabiki ila ukikaa chini ukatuliza akili hamna mchezaj ambae unaweza kusema huyu ni top player iliwachukua dakika 96 kufurukuta mbele ya evans na maguire katikati akiwa eriksen
Kwahiyo kumbe shida yako ulitaka mfungwe dakika za mwanzo ?
Huyo magwaya na Evans si wachezaji wenu
Kocha WENU si kapewa £450m kiasi hicho hicho ndio ametumia Mikel had Sasa,
XG
Arsenal (2.53) 3-1 (0.98) Man Utd
View attachment 2738322
Wadanganye tu wenzio , Brighton anakuja kuwapiga za kutosha
Timu inataka kufunga magoli kwa kuvizia kaunta,
Yani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah[emoji23]Timu yako goli zote mbili hazina mipango ukiacha la kwanza unawezaje kupost utoto huo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti hazina mipangoTimu yako goli zote mbili hazina mipango ukiacha la kwanza unawezaje kupost utoto huo?
Yani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah[emoji23]
Yani mtu umeona kabisa sub zile zimekupa mwanya bila hivo chao wasingekuwa nacho jana