Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kosa la glazer ni lipi?

Wamempa pesa huyo jasusi kaenda kusajili wahuni tu.

Onana ana kipi cha kumzidi degea?View attachment 2738231
Ety kosa la glazers ni lipi, unaleta utani kwa mambo yaliyo serious, kwa akili yako unafikiri degea Ana kipi! Cha kumzidi onana au unafikiri mpira wa sasa utahitaji makipa walio shot stoper tu.

Hao glazers hukumbuki interview ya Cristiano Ronaldo.
 
Pamoja kupoteza mechi lakini team inazidi kubadilika.

Mosi ni suala muda tu huyu dogo number 9 akizoea mfumo ni hatari sana.urefu wake na skill ni tatizo kubwa kwa team pinzani zs baadae.

Onana katengeneza confidence kubwa back 4 isipokuwa tupunguze mipira ya nyuma.

Baada ya mechi za kimataifa tutaanza kuona Man.
 
Mkuu mimi hili suala la VAR linanichanganya kila siku. Hawa waamuzi wa VAR wakiwa wanarudia utaona kabisa mstari sio perpendicular ila kama unatengeneza angle aidha ndogo kuliko nyuzi 90 au kubwa kuliko nyuzi 90 halafu wanahitimisha kuwa ni offside au la. Mfano mzuri ni offside ya goli la Garnacho,mstari haukuwa nyuzi 90 bali ulilala ndio maana maamuzi yalikuja vile refa alivyotaka.

Hata hii picha yako mkuu asahd mstari haukunyooka ila umelala kidogo kumfuata beki wa mwisho wa arsenal,labda kama mstari wa pembeni haiko sawa sana.

Hata uwe gk bora namna gani? Mbele yako wakiwekwa mabeki kama wale lazima uumie
 
IMG_0897.jpg



Hapa kuna mtu sijui sasa rashford na anthony kama wataweza kwenda nae sambamba wakiacha ubinafsi hili ni tatizo pale mbele ni moto haswaa kuna beki jana kaacha mpira kamdaka mwili mzima kwenye 18

Rasmus Højlund
 
unaangaliaga mechi za Manchester au?? Sancho amechezeshwa wing zote mpk false 9 na makocha watatu na hakuna alichokifanya

kipindi cha Solksjær alikuwa anecheza RW zaidi na hakuna alichofanya zaidi ya kurukaruka tu
Msemaji wa maisha ya watu[emoji3]
 
Hii nafasi ilikua goli kabisa jamaa huwa simkubali sababu ya uselfish na utoto wake.
Rasmus alimaind kwenye hii move. Baada ya Rashid kupiga ule mpira ukaishia kwa mabeki akarusha mikono juu kwa hasira,yaan ingekuwa inawezekana kuingia ndani ya Tv basi jana ningeingia nkampige mawe yule umbwa Rashid
 
#Arsenal tulimaliza mechi na 55% possession, but mashabiki wa manjesta wanadai walicheza vizuri

[emoji599]Arsenal tulizalisha xG ya 2.53 dhidi ya 0.98 man united ,Two big chances Kai & Saka

[emoji599]Tulipiga 209 passes katika final third ya manjesta wakati wao walipiga pass 74 tu kwenye final third ya Arsenal,kwa dakika 100

[emoji599]Ni 16% tu ya pass zote za man united ndio walipiga kwenye final third ya Arsenal ,nyingine zote walipiga kwenye backline Yao na chache eneo la kiungo , compared to Arsenal walipiga 40 % ya pass zote kwenye final third ya man u

Key area domination.
 
Alan Pardew anaungana na Mimi Kama mchambuzi nguli kuhusu Anthony

[emoji777] “He’s very weak defensively. Offensively, he isn’t top drawer.”

[emoji102] “When you sign a player you’ve managed, you’ve rubber stamped him.”

Alan Pardew believes Antony’s poor form reflects badly on Erik ten Hag
 
Hii timu inashika nafasi ya 3 mkiani kwa kuingia mara chache kwenye box la mpinzani


Kuna watu wanakwambia tupo vzr[emoji1787][emoji1787]
Ajabu wewe mwenye touches nyingi unazidiwa nafasi hadi goal difference na wenye touches chache kama City, Liverpool na Westham.

Hii inamaanisha nini? Maana yake bado hata wewe unajitafuta ukizembea utaikosa top four msimu huu watu wanauwasha kweli kweli kulinganisha na msimu uliopita.
IMG_20230904_194411.jpg
 
Back
Top Bottom