Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,388
- 48,128
Alikiba wa mamtoniFeminists wana wiki mbaya sana. Walitegemea kuona Greenwood akikosa timu. 😂View attachment 2736254
Alikiba wa mamtoniFeminists wana wiki mbaya sana. Walitegemea kuona Greenwood akikosa timu. 😂View attachment 2736254
Mbona club haijaandika chochoteoa
Nahisi ataonheza Kasi pale katikatiIla Amrabat hatocheza Sunday dhidi ya Arsenal
Mleten acheze ,apigwe rondo pale KatiIla Amrabat hatocheza Sunday dhidi ya Arsenal
Huyu ngosha Bora hakuja, huwa anachezesha mauno tuu uwanjaniMawazo ya 7hagg
Goal - MOUNT
Assist - CUCURELLA
Chelsea 0-1 Manchester Utd (90 mins)
View attachment 2733363
Kesho usikimbie tu JF maana wiki hii umetamba sana.


Masingeli hua anachezea mzinga wa nyuki halafu nyuki wakianza kutoka yeye anajificha wanang'atwa Arsenyau wenzake


sasa hivi mpaka Arsenyau wenzake wameanza kumuwashia moto kwa hio tabia yake ya kuchokoza nyuki.

Masingeli unawaponza wenzio ujueeee, kesho tukiwagonga mtateseka kwa wiki 2 mfululizo mpaka yatakapoisha mapumziko ya mechi za kimataifa.Ila pia kiasi fulani tumejitahidi kupunguza wachezaji wengi sana, ambayo ni nzuri kupisha talents zingine ziingie, academy yetu ilikuwa inazidi kujaa na wanaoingia first team unakuta mmoja au wawili hivi wanaobakia hakuna future yoyote kwao.
Wenzio wanaanga humu sababu ya kichapo Cha keshoMasingeli hua anachezea mzinga wa nyuki halafu nyuki wakianza kutoka yeye anajificha wanang'atwa Arsenyau wenzake
sasa hivi mpaka Arsenyau wenzake wameanza kumuashia moto kwa hio tabia yake ya kuchokoza nyuki.
Masingeli unawaponza wenzio ujueeee, kesho tukiwagonga mtateseka kwa wiki 2 mfululizo mpaka yatakapoisha mapumziko ya mechi za kimataifa.
Sijajua Umeuliza ama Umehitimisha.Kwa kipi mshabiki wa Liver awaonee wivu utd kiufupi tumia akili yako vizuri
fabrizio alisema hojlund atarithi nambari 17 iliokuwa inavaliwa na FRED.Alisemaje
Ni mjinga tu atayekuamini wewe shabiki kachumbari ambaye ulipotea jukwaani kwa muda wa miezi miwili baada ya timu yako kukosa ubingwa ambao mmeutafuta kwa miaka 20 na hamtukuja kuupata tena ndani ya karne hii.Huna timu ya kuifunga Arsenal
Halafu si ulitanganza hutaonekana had 7hag aache kumpanga masebene?
Unakimbia kidiplomasia halafu unasema Mimi ndio nakimbia![]()