Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkali UTD Ime-ruin Childhood Happiness ya Wengi sana. Kundi kubwa linatafutia faraja Chochote kile toka Kwa UTD, iwe kwa Ubaya ama kwa Uzuri ukizungumzia lazima U-trend. Angalia Talksport kina Agbonlahor, Bent, Murphy na wengine hadi unaweza staajabu Podcast kama ile wanazungumza Pointless namna ile kama hawajawahi hata Cheza Soka!!

Ila Kiuhalisia UTD kubwa saana so kwa mabaya ama Mazuri ikizungumzwa Mhusika lazima a-trend, Mashindano yoyote Ikishiriki UTD lazima yawe na mwamko tofauti, Ukiuliza Waonyesha Mpira wanakwambia Mpaka Pre-Season Utd Inakuwa na Mashabiki. Kundi kubwa la Hao Ex-Players na Officials wamekuwa wanaichukia UTD ile Asili ya Binadamu kuchukukia kilichofanikiwa. Sababu Kuu ni MAFANIKIO ya UTD na WIVU wa Wengine juu ya Mfanikio hayo! kundi kubwa ni wa zile timu kama Newcastle, Liver, Leeds, Arsenal

{Chelsea na City hizi ni timu za Misingi ya Kifedha na mashabiki wake wengi ndo wale wanadondokea kundi la "Plastic fans" Football is about loyalty ila kuna mashabiki wamehamia timu hizo}
Kwa kipi mshabiki wa Liver awaonee wivu utd kiufupi tumia akili yako vizuri
 
Dirisha ndio hivyo
Screenshot_20230902-055034.jpg



Tusubiri. Huyu anakwenda kumuweka nani benchi
 
Mbona club haijaandika chochote
Hawawezi kuandika italeta matatizo na mashabiki. Getafe wamethibitisha.

Hawa mashabiki wa United wanaopinga Greenwood kucheza United wajiangalie kwasababu wanaweza kupigwa na kitu kizito kama timu ikipata mmiliki mpya. Ni kama timu imefanya danganya toto, wameandikiwa barua ya kuwatuliza ila hakuna contract termination.
 
Mwendo wa debuts tu

Wao siwanapenda kukaa na mpira kuuficha...solution ni kufosi wafanye makosa mpira tukipata viberenge hadi kwa Ramsadle
Hamna muda wakumuonea mtu huruma uchochoro upo kwa zinny hapo
Mnavyoandika JF sasa utafikiri mna Timu ya maaaana kwelihuna Timu ya kuifunga Arsenal kesho
 
Back
Top Bottom