adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,796
Mkifungwa na Man U lazima ukimbie Jf kama ulivyokimbia spana kipindi kile mpaka nikashangaa mtu kujiamini kote na kuchonga genga unakimbia jukwaa na Jf mazima kisa maneno tu ?Mnatokea kwa ku beep
Mlipokula kipigo kwa spurz mkasema mnahama had 7hag asipompanga masebene
Sasa hivi mmerud
Achen mbambamba,kesho tunawakanda na mtapoteana humu
Safari hii itakuwa spana babkubwa maana utakuwa na maadui pande mbili wapinzani na WanaAresal wenzako watakushambulia full scale, all out war nakusauri tafuta kambi mapema jukwaa la mapishi ukajifiche .