Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii season tutacheza moira mzuri kuliko last season.
second phase in EPL table ( kwenye ligi tunakaa namba mbili)
UEFA ni quarter au semi, me naamini ten hag anajua sana.
So it means hatuchukui kombe lolote msimu huu then unasema 7Hag anajua? Anajua nini sasa?
 
Sasa hayo ni maneno yangu au ya Rio?


Halafu Kwan uongo mount hamjapigwa ?
Huyu mount alikuwa target ya Liverpool before hatujamchukua... Unataka kusema Klopp nae hana talent Id... Mpaka kuwa target kuna kitu kimeonekana kwake... Hata Kai si alikuwa anatakiwa na Bayern kuna kitu anacho.... Ni swala la Muda kocha ndo anayejua mkuu
Screenshot_20230901-170713.png
 
Huyu mount alikuwa target ya Liverpool before hatujamchukua... Unataka kusema Klopp nae hana talent Id... Mpaka kuwa target kuna kitu kimeonekana kwake... Hata Kai si alikuwa anatakiwa na Bayern kuna kitu anacho.... Ni swala la Muda kocha ndo anayejua mkuu View attachment 2735781
Anaweza kuwa mchezaji mzuri ila jiulize 7hag alimsajili kwa malengo maalumu au kubahatisha

Tunachozungumzia Ni uwezo mdogo wa 7hag kwenye Talent ID

Yaan anasajili mchezaji anakuja ana flop

Sababu anabahatisha Kama atafit au lah


Ndio Maana katika £450m alizotumia utakuja kushangaa Ni mchezaji mmoja au wawili wenye afadhali

Hata aliowakuta hapo manjesta wanamshinda kuwa develop
 
Mkopo kwa €10m ,

Mchezaji amekuja sababu ya connection ya 7hag

Another Utapeli

7hag Ni dalali

Kwa Weghost alipata commission

Kwa Hojlund alimwambia amfukuze wakala wake ajiunge na wakala ambaye ni wa 7hag , wakala akapata 10% , 7hag ana commission

Amrabat hivo hivo wanajuana toka Utriech,akamwambia asiende timu nyingine ,atamleta unyumbuni kwa vyovyote , now kasajiliwa kwa mkopo wa €10m , hapo 7hag ana commission yake
Anatoa Baba ako hiyo commission?

Acha kujipa umuhimu kwenye yasiyokuhusu
 
ni mchezaji wa kawaida sana. Msiwe na imani nae kupitiliza . Ukiweka mctomny na amrabat namfata mctomny
Mchezaji alifanya vzr mech 3 za world cup ,

Big teams zilikuwa zinatafuta DM , wakapambania signing za Caicedo, Rice ,Palhinha ,

Hawakumuona huyo Amrabat kwa £21m?

He is average player
 
Mchezaji alifanya vzr mech 3 za world cup ,

Big teams zilikuwa zinatafuta DM , wakapambania signing za Caicedo, Rice ,Palhinha ,

Hawakumuona huyo Amrabat kwa £21m?

He is average player
Watakuja kumkataa .. waache wajifanye wanamjua sana
 
Anatoa Baba ako hiyo commission?

Acha kujipa umuhimu kwenye yasiyokuhusu
Usiwe na hasira kaa kwa kutulia

Huu mchezo hauhitaji hasira

Tuli draw na Fulham mkaja jukwaan Kwetu kupiga mboyoyo wakati mna timu mbovu


Narudia Tena omben Sana Jumapili tusishinde, mlinikera Sana kuja jukwaan kwetu wakati mna timu mbovu Sana

Nitaweka kambi wiki 2 humu ,na nitakuja na kikosi kazi, had international break ikate

Screenshot_20230901-123235_1.jpg
 
Watakuja kumkataa .. waache wajifanye wanamjua sana
Wapo desperate na sajili ,wanasahau 7hag anabahatisha tu ,Ni juzi alikuwa anamtaka Kukubela , Chelsea wamewakazia kwenye loan fee ,

Huyu Amrabat yupo fiorentina miaka yote ,walishajiuliza kwann kajulikania world cup kwa mechi 3
 
And they will lose Sunday

Manyumbu have struggled on the road against their main rivals in recent times.

They have won none and lost eight of the last 12 away games against the other teams in the Big Six and Newcastle.
20230901_172449.jpg
 
Wapo desperate na sajili ,wanasahau 7hag anabahatisha tu ,Ni juzi alikuwa anamtaka Kukubela , Chelsea wamewakazia kwenye loan fee ,

Huyu Amrabat yupo fiorentina miaka yote ,walishajiuliza kwann kajulikania world cup kwa mechi 3
Mkuu kajulikania world cup au wewe na wenzio ndio mmemjulia world cup? Kuna tofauti kubwa sana hapo.
 
kuna muhuni fulani anashabikia real madrid anapatikana mitaa ya twitter,
anadai kufanya vibaya kwa manchester united ndio kunazidi kuifanya ligi ya Uingereza kuwa maarufu zaidi na zaidi.

ukienda kwenye mitandao ya kijamii utakuta jambo lolote linalohusu manchester united ndio linapewa muda zaidi wa kujadiliwa.

mechi dhidi ya spurs tulinyimwa penalty ya wazi lakini hakuna referee wa zamani wala mchambuzi aliyezungumzia sana swala lile.

cha ajabu mechi dhidi ya nottingham forest, baada ya tukio la penalty na red card tumeshuhudia wiki nzima yanajadiliwa matukio mawili hayo kuanzia talk sport, sky news, bbc, na tovuti nyengine za kijamii.

man utd wakisajili au kuhusishwa na mchezaji anatrends kwenye mitandao kuliko trending ya man city kubeba treble.

hii imekaaje?
Chief-Mkwawa
 
Mkuu kajulikania world cup au wewe na wenzio ndio mmemjulia world cup? Kuna tofauti kubwa sana hapo.
Wewe umemjulia wapi kabla ya world cup?

Tudanganye hapa

Amrabat had anafika miaka 26 kajulikana kwa performance ya world cup mech 3 tu

Ilishatokea kwa Davor Suker , na wengine wengi
 
Back
Top Bottom