mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Kunywa maji mengi kakaHii timu ni ya Kik*uma haki ya mama.View attachment 2724250
Kunywa maji mengi kakaHii timu ni ya Kik*uma haki ya mama.View attachment 2724250
Upo kama Mimi Chief .........Kwa huu upumbavu, sina mzuka tena na club, na naombea wapigwe sana
Nakuhakikishia kaka streiker ataanza ni vijana kama Pelistri, Garnacho au Hamad tutafunga saana ila wakianza hawa wakina Rasford, Sancho na Antony tatizo linaweza kuwa pale pale.Sawa mkuu, kizuri ni kuwa striker tumesajili na soon atacheza, basi tutakutana hapa hapa na hizi data.
Yote haya wakulaumiwa ni nyinyi Chelkenge, Mliilaghai bodi ya Utd kua Mason ni Mason tu, mkituuzia Mason Mount tutakua tumeziba pengo la Mason Greenwood kwa kua wote ni Masons.Nyie FEMINIST FC vipi mko poa?
🤣🤣🤣🤣Yote haya wakulaumiwa ni nyinyi Chelkenge, Mliilaghai bodi ya Utd kua Mason ni Mason tu, mkituuzia Mason Mount tutakua tumeziba pengo la Mason Greenwood kwa kua wote ni Masons.
Mimi baada ya kununuliwa Mason Manati nilihisi tu Mason Greenwood lazima atatolewa kafara. View attachment 2724439
Nakuhakikishia kaka streiker ataanza ni vijana kama Pelistri, Garnacho au Hamad tutafunga saana ila wakianza hawa wakina Rasford, Sancho na Antony tatizo linaweza kuwa pale pale.Sawa mkuu, kizuri ni kuwa striker tumesajili na soon atacheza, basi tutakutana hapa hapa na hizi data.
Siku imemalizika vibaya kwangu hii hizi habari za Greenwood kuachwa zimenimaliza nguvu kabisa.
Nilikuwa nina matarajio kwake akija kutulia but feminists ndio wamekuwa na nguvu kuliko klabu yetu ya kisenge,Wanawake ni vikwazo kwa vitu vingi Duniani.
Tumepoteza kipaji kikubwa huku tunabaki na mcheza sebene Antony[emoji22][emoji22]
Kila la kheri kwa klabu itayothamini kipaji cha Greenwood na haitajutia kumchukua na majuto yatarudi kwetu baadae.
Kwakweli na iwe hivyo tu. Nmetibuka nyongo hapa kinomanomaaaMpaka muda huu Instagram official a/c ya Manchester United wameogopa kupost issue ya Greenwood, mashabiki wamechafukwa kila upande wa dunia ni wanatapika nyongo kwelikweli.
Natabiri hili suala la Greenwood rasmi litaanzisha movement za mgomo na maandamano ya kuwalazimisha Glazers wauze timu kwa nguvu.
Hili suala la Greenwood bodi ya United itajutia sana, ni bora wangelinyamazia tu wakamtoa kwa mkopo kimyakimya.Kwakweli na iwe hivyo tu. Nmetibuka nyongo hapa kinomanomaaa
Asa Glazzers wanahusikaje hapo jamani.. yani mkifungwa mechi moja tu ndo mnakumbuka timu iuzwe. Hapo imeingia ishu ya Greenwood na nyie ndo mnaingizia humo humo.Mpaka muda huu Instagram official a/c ya Manchester United wameogopa kupost issue ya Greenwood, mashabiki wamechafukwa kila upande wa dunia ni wanatapika nyongo kwelikweli.
Natabiri hili suala la Greenwood rasmi litaanzisha movement za migomo na maandamano ya kuwalazimisha Glazers wauze timu kwa nguvu.
Pesa ya usajili haitoki kwenye mifuko ya Glazers, hii familia imekua ni kama kupe kwenye kunyonya mapato ya timu bila ya kua na mikakati yoyote ya kuboresha timu yetu.Asa Glazzers wanahusikaje hapo jamani.. yani mkifungwa mechi moja tu ndo mnakumbuka timu iuzwe.
Hebu iacheni familia ya watu ienjoy maokoto.
Kama pesa kipara kapewa akaenda kununua mchezaji majeruhi.
Note:Glazers Out imeanza tangu timu ikiwa on fire miaka ya 2008 huko na ishu sio pesa ya usajili.Asa Glazzers wanahusikaje hapo jamani.. yani mkifungwa mechi moja tu ndo mnakumbuka timu iuzwe. Hapo imeingia ishu ya Greenwood na nyie ndo mnaingizia humo humo.
Hebu iacheni familia ya watu ienjoy maokoto.
Kama pesa kipara kapewa akaenda kununua mchezaji majeruhi.
Kitu msichojua ni kwamba wanawake wanasujudiwa sana ulaya ukionesha kitendo cha unyanyasaji au ubaki basi ujue umeenda na maji kule wana sheria kali sanaHili suala la Greenwood bodi ya United itajutia sana, ni bora wangelinyamazia tu wakamtoa kwa mkopo kimyakimya.
Hili suala linaenda kuwaamsha mashabiki wa United kudai timu yao toka kwenye mikono ya kinyonyaji ya familia ya Glazers.