Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Forest mpka sasa kapiga pasi 15 tu lakini anaongoza kwa goli 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine watching football in August when you can be outside watching birds flock together and grass sway with the wind

utdArena
 
Nilifanya maamuzi sahihi kujipa likizo ya muda. Siangalii upuuzi mimi, LiveScore inatosha kujia kinachoendelea huko.

Piga mbwa hao na kocha wao fala. Huwezi kuchezesha wapuuzi kama Antony kila siku utegemee mabadiliko.
Zima hiyo TV bwanaaa
 
Nilikuwa sijacheki Man U kwa muda mrefu leo nimeshangaa kuona Casemiro kawa kibonge.
 
JASUSI la Uholanzi kwenye majukumu yake kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom