Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa Brighton Wana mipango Sana ,

Kwanza Wana kocha Mwenye Brain ya mpira

Di zerbi naomba Sana asipewe timu kubwa EPL atatusumbua Sana , Pep anamjua vzr huyu jamaa

View attachment 2727352
Unamkumbuka NUNO WA WOLVERHAMPTON Alikuwa mwal mzuri sana tana sana alipokwend spurs tu yalio mkuta wote tunajua huenda kweli mwalimu wa BRIGHTON NI MZUZI ILA JE AKIPEWA TUMU KUBWA ATAKUWA HIVYO HIVY
 
Unamkumbuka NUNO WA WOLVERHAMPTON Alikuwa mwal mzuri sana tana sana alipokwend spurs tu yalio mkuta wote tunajua huenda kweli mwalimu wa BRIGHTON NI MZUZI ILA JE AKIPEWA TUMU KUBWA ATAKUWA HIVYO HIVY
Hili swali huwa silipend ,maana mwalimu mzuri kwa timu ndogo anaonekana tu ukimpa timu kubwa atazingua

Walimu wengi wa timu ndogo wanaofanya vzr huwa wanabahatisha tu kuzifunga timu kubwa

Di zerbi huyu jamaa anajua ,habahatishi , huyu jamaa makocha wakubwa wanakiri uwezo wake ,

Huyu Jamaa ashamdhalilisha klopp sio Mara moja

Huyu Jamaa omben asipewe timu kubwa

Mech ya kwanza kabisa anafika Brighton alicheza na mancity kairudie hata highlights hiyo mechi Etihad ,

Hakuna kocha wa timu ndogo anaweza kuweka namba hiz, tena kwa Modern football hii

20230824_154211.jpg
 
Hojlund debut delayed
Mount out for 4-6 weeks
Onana going to Afcon
Just signed Johnny Evans
Maguire doesnt wanna leave
No midfielder signing
Antony has no right foot
 
Ibrahimovic: I'm a lion but after watching Maguire I became a cat

Mbappe: I ran with the ball Maguire was far behind me before I could reach the 18 yard box he's already infront waiting for me

Messi: I refused to come to the Premier league because of Harry Maguire

Neymar: he's the toughest defender I've ever faced

Pep Guardiola: if Defence was an art, Maguire will be the Picasso of it

Sergio Ramos: people say I'm the best defender in the world, but after watching Maguire I realise they were smoking weed.

Cristiano Ronaldo: he's probably the best centre back I've ever played with, the way he stretches his leg to tap-in an Own goal is so unbelievable

De Gea: whenever I have Maguire infront of me I'm always speechless, he's unbelievable

Lindelof: he's the best defence partnership I've ever played with, we contributed a lot of goals together

Haaland: i would love to play against United, but if Maguire will play I'll fake an injury

Graham Potter: he's a very generous person, he doesn't care what side he's playing on, he just score for everybody

Paolo Maldini: in my prime I wasn't even close to Maguire

Pele: if Maguire had played in the 90's with me I wouldn't have scored up to 50 goals

Ronaldinho: the toughest defender I've come across was Maldini and Pepe but after watching Maguire I realise i was wrong

Phil Jones: he's my role model, he taught me alot in the defence academy

Eden Hazard: I ran away from the Premier league cuz of him

LIVING LEGENDARYView attachment 2727360
Chai .
 
Global club football rankings


[FiveThirtyEight]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2726113
Najaribu kutafakari Imekuwaje dortmund ni ya 9 na Psg ni ya 15
 
Niliwahi sema hapa ,makosa anayofanya kocha wenu ,mtakuja kuwalaumu Grazzer family
Hapa hatuzungumzii makosa ya kocha tunaongelea sajili zaidi haiwezekani timu imefuzu Champions League tulategemea hata sajili 6-7 za kuongeza nguvu ila tumeishia 3 tena moja ya kipa.

Wanasingizia timu iuze wachezaji ndio isajili wakati ipo capable kusajili bila kuuza kutokana na mapato yake basi wanasambaza propaganda kwa media.

Kocha nitamlaumu kwa sajili ya Antony na Mount tu ila kwa Hojlund ni makosa ya watu wa juu waliofahamu kwamba majeruhi ila wakapiga sanctioning.

Glazers hawakwepi lawama kabisa hapa
 
Luke Shaw kati ya wapuuzi ambao sijawahi kuwaelewa hata wacheze vipi,nishawahi kuwaambia fans wenzangu kuwa Shaw hata maajabu huwa anakamia akiona namba yake ipo kwenye risk
l
Last season katafuta alichokuwa anakitaka mkataba mpya na mshahara mnono sasa ni muda wake wa kurudi default version ya yule aliyekuwa anawekwa nje hadi na Brandon Williams.

Kaanza na majeruhi sasa ngoja arudi uwanjani mtajionea
 
Back
Top Bottom