IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Greenwood tayari uko kenge nyie
Mimi sichambui mpira kwa kufuata mkumbo mkuu, natoa facts, tatizo letu sio kiungo mkabaji wala kiungo mshambuliaji wala sio beki japo tunapaswa kuongeza kiungo mmoja wa kumsaidia Casemiro
UTD ni Game Two ila ni namna gani ime-ruin Childhood happiness ya wengi unaangalia tu mana still wengi bado hawana hiyo furaha wanayoitaka kwa timu zao wamebaki furahia matatizo ya UTD na kujifariji nayo.Ndani ya hizi mechi mbili tumcreate big chances 6 tumefunga moja tena ni beki ndio kafunga sawa na 16.66%, Brighton wamecreate tisa wamescore 8 sawa na 88.88%, Newcastle wamecreate 8 wametumia 5 swa na 62.5%
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Feminists utdHii timu ni ya Kik*uma haki ya mama.View attachment 2724250
Washenzi sana wanachojua kupigia kampeni ushoga na usagajiHawa wapumbavu huwa wapo kutukosoa Afrika tu ila wao wanafanya upuuzi mwingi. Utawala wa sheria kwa malkia ni msamiati. Mahakama imesema hana hatia lakini klabu imemhukumu kutokana na hisia na maoni ya watu baki kwa kosa ambalo hana. Ngoja klabu ishuke daraja tukose wote.
Mahakama ili drop charges. Haikusema kuwa ana hatia au hana. Charges zilikuwa Dropped sababu yule mtoa key evidence alijitoa.Hawa wapumbavu huwa wapo kutukosoa Afrika tu ila wao wanafanya upuuzi mwingi. Utawala wa sheria kwa malkia ni msamiati. Mahakama imesema hana hatia lakini klabu imemhukumu kutokana na hisia na maoni ya watu baki kwa kosa ambalo hana. Ngoja klabu ishuke daraja tukose wote.
Suala la Greenwood bodi ya Utd wamelikuza makusudi.Washenzi sana wanachojua kupigia kampeni ushoga na usagaji
Sidhani kama ingekuwa klabu nyingine ingemuacha kizembe,Benzema alikuwaga na kesi nzito zaidi ya hii ila Real Madrid licha ya image yao kubwa hawakumtupa.
***** sana Man United
Taratibu mkuu, utaumia zaidi tukimtambulisha pale EmiratesHii timu ni ya Kik*uma haki ya mama.View attachment 2724250
Bado ana mkataba. Anaweza kutolewa kwa mkopo kila msimu mpaka mkataba wake uishe.Suala la Greenwood bodi ya Utd wamelikuza makusudi.
Huyu dogo natamani achukuliwe na timu kubwa inayojielewa halafu kila tukikuta awe anatugonga goli za kutosha[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hawa umbwa ni ubaguzi tu wa rangi ndio unawasumbua, ni mara 100 wangemtoa kwa mkopo hata msimu mmoja kisha wakamuuza kuliko hivi walivyomfanyia.
MamaEster United a.k.a Mama Yuu
Nyumbu kasoro mkia.
Halafu sijui ataishi vipi na yule demu wake maana ni responsible kwa kuharibu career ya kijana.Suala la Greenwood bodi ya Utd wamelikuza makusudi.
Huyu dogo natamani achukuliwe na timu kubwa inayojielewa halafu kila tukikuta awe anatugonga goli za kutosha[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hawa umbwa ni ubaguzi tu wa rangi ndio unawasumbua, ni mara 100 wangemtoa kwa mkopo hata msimu mmoja kisha wakamuuza kuliko hivi walivyomfanyia.
MamaEster United a.k.a Mama Yuu
Nyumbu kasoro mkia.
Manchester United + ETH walitaka kumrudisha Greenwood but kulikuwa na pressure kubwa kuanzia kwa sponsors, wanasiasa,football pundit ,member wa timu ya wanawake na baadhi ya staff wa klabu walitishia kuandamana/kuacha kaziUkisoma statement ya Richard Arnold utagundua Greenwood hajatendewa haki na timu imesikiliza kelele za feminists kufanya maamuzi.
"While we were unable to access certain evidence for reasons we respect, the evidence we did collate led us to conclude that Mason did not commit the acts he was charged with.
Although we have decided that Mason will seek to rebuild his career away from Manchester United, that does not signal the end of this matter. The club will continue to offer its support both to the alleged victim and Mason to help them rebuild and move forward positively with their lives."