Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Ten Hag tutamtetea kwa sababu tunampenda tu ila kuna matatizo msimu huu kayaanzisha yeye hasa kuwapa mikataba Rashford na Shaw hata wacheze vipi sina imani nao kabisa,Rashford kadrop na Shaw akirudi anadrop sasa usiombe iwe game na Liverpool ndio hugeuka uchochoro kabisa.Jishikilie ulipo kaa, watakuja top reds (according to them) wakulushie mawe, umegusa tako la kipenzi chao
Usajili wa Tielemans kwa bure ungekuwa bora kuliko wa Mount.
Tunachukia watoto wa Kiingereza kwa uchezaji wao wa kifaza yeye ndio anawapa chance zaidi.
Anyway ikifika October nadhani Glazers na Ten Hag wote watakuwa hawatakiwi na mashabiki.
Ni sawa Ten Hag ana makosa kutumia vibaya hela kwa usajili ila agenda ya Glazers na yake ni mbili tofauti watu watambue hapa kuwa sababu ya Glazers out sio pesa ya usajili.