GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Unateseka sana kwenye huu uzi.Benzema alivyokua na scandal yake Hadi timu ya taifa ilimyema, lakini Madrid walikua nae bega kwa bega. Hadi juzi Kati akiichezea timu yake ya taifa baada ya miaka mingi
Partey alivyokua likizo, Kuna demu alijilengesha alafu akataka achukue advantage ya kubakwa
Social medias zilichafuka
Bord ya arsenal ikamuambia wewe partey ndio uwe wa kwanza kuripot, fanya mazoezi, piga kazi
Hizo ni Mifano ya timu ambazo ina misingi ya kiume na zinaendeshwa kiume,
Greenwood angekua arsenal, tangu pre season angekua anapiga kazi na timu
nyumbuz wanawake wanasauti kuliko wanaume, club imekaa kikike sana hii
Kila wanachofanya Manchester united kinakutesa kiwe kibaya au kizuri.
Kama vipi mmchukue, si kwanza hamna striker wa kueleweka.?
Hasn’t improved Sancho
“Is Ten Hag actually any good?”
BREAKING: Sheikh Jassim is set to complete his full £6billion takeover of #mufc by mid-October. 








David Ornstein: “The bigger unanswered question is whether the Glazers will really sell Manchester United when push comes to shove. So far we haven’t had an answer yet but perhaps we are getting towards it now.” 