GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,662
- 17,978
Manchester United ni timu kubwa.Sijui kwanini mchezaji wa Manchester United akizingua kidogo agenda inakuwa kubwa sana kwake.
Takwimu za rice vs casemiro msimu huu.
PL: Casemiro v Rice Defending Comparison.
Casemiro v Rice
Blocks 3-2
Tackles: 5-4
Clearances: 7-1
Clean Sheet: 1-1
Interception: 2-2
Headed Clearances: 3-1
Aerial Battle Won: 4-2
Passes Forward: 37-32
Passes Backwards: 14-15
Agenda.
Hivyo vingine ni vitimu vya uchochoroni.
Sasa timu anayocheza Rice ina utofauti gani na leeds united.?
Manchester united ni timu kubwa habari zake zinawapa watu pesa.