Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

article-2582009-1C581ACB00000578-313_964x362.jpg



Nachikia Judas Iskariot hakucheza
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
If you can't cry about it you might as well laugh
 

Attachments

  • moyesgenius.jpg
    moyesgenius.jpg
    29.7 KB · Views: 59
  • 3p0ints.jpg
    3p0ints.jpg
    37.5 KB · Views: 62
DonDonald Mata anaweza kuweka historia ya kuwa mchezaji ambaye ............... kutokea kwa timu za England... Leo alifichwa mfukoni mwa nani, Henderson, Agger, Gerrald?
 
"Moyes is the Football Genious" teh teh teh teh teh teh! Majogoo bhana!

Very true na ushahidi huu hapa..staki mambo ya leta picha yaani nimeweka picha kabisaaaaa
 

Attachments

  • 1394996730530.jpg
    1394996730530.jpg
    25.8 KB · Views: 74
Dah.. afadhali sasa nimejua timu sio mbaya,mbaya ni kocha. Fellaini alikuwa kwenye kiwango cha juu sana leo.alikuwa anatacle mipira mingi pale katikati,anapanda anasababisha mashambulizi eti anamtoa anamuingiza cleverly what a shame...moyes..au ndio huyo phil nevile anakudanganya hizo sub ili uchemshe aachiwe yeye timu!!!. Na jumatano utashangaa anapanga kikosi cha ajabu ajabu wakati anajua kabisa man u kombe tulilobakisha na tuna uhakika wa kulichukua ni uefa pekee!!
 
Mh!inatisha!yaani siamini haya ya Man u na Milan!wakubwa wamekamatika mbaya!poleni watani zangu wa ulaya inshallah Moyes ataondoka ila tuombe dua "awahi" kuondoka.Mie nipo nanyi nawafariji katika wakti huu wa mahangaiko,shida,na huzuni.Nina washkaji wengi Man U kiasi kwamba wakifungwa na mie siku yangu inaharibika maana watu wanalala mapema.Niwafariji vipi watani zangu?ngoja niwaimbie blues moja naisikia sana Radio one Chombeza time tangu miaka ya 90 hadi leo.."keep smilling,keep shining,knowing you can always count on me,for sure,that's what friends are for,in good times,and bad times i'll be on your side forever more,that's what friends are for..ti li ti li li.."tupo pamoja msihuzike wakuu,poleni sana!
 
Kipindi cha pili, ningependa kuona haya:

1. RvP nje, Kagawa ndani.
2. Adnan nje, Welbeck/Young ndani.

Hapo, Kagawa atakaa kati, Rooney mbele.

Lazima watakaa....

....kaka inekuwaje tena?!
Hizi results hata hazifurahishi tena?


#MosKwito !
 
Back
Top Bottom