Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rafael ana bahati ilitakiwa iwe second yellow... very intentional handball pale
 
Siku ile muda kama huu ile top four ilikuwa imeshapigwa nne..bila...
 
Kwanini tusinunue wakati ni mchezaji wa United...

Au kwa vile mauzo ya jezi ya Nemo yanaelekea kupungua?!?

sababu itakuwa ni kinyume na miezi michache iliyopita....mlikuwa mnalalama kwa nini Moyes kamnunua.
 
Where's Mata? Atakuwa kafichwa mfukoni mwa nani huyu jamaa?... Anyway hii mechi itaisha kwa draw 1-1, Skrtel atafanya mambo yake kuisaidia Man utd kusawazisha
 
Kipindi cha pili, ningependa kuona haya:

1. RvP nje, Kagawa ndani.
2. Adnan nje, Welbeck/Young ndani.

Hapo, Kagawa atakaa kati, Rooney mbele.

Lazima watakaa....
 
Mkuu unamsahau valencia ni muhimu sana kupeleka presha mbele na anakaba kwa nguvu na ukizingatia rafael tayari ana woga wa kadi ya pili presha itapungua sana huku kulia.

kipindi cha pili, ningependa kuona haya:

1. Rvp nje, kagawa ndani.
2. Adnan nje, welbeck/young ndani.

Hapo, kagawa atakaa kati, rooney mbele.

Lazima watakaa....
 
Back
Top Bottom