Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd michosho kweli, mnafanywa ngazi ya kubeba kombe old trafford.. nilitegemea draw anyway ngoja tuwagonge spurs kwao
 
THREE penalties at Old Trafford?
Never thought I'd see the day a ref had the guts to do it. Shows how much control Fergie exerted on the refs. Poleni sana watani

Kwa mara ya kwanza, naanza kuwa na mashaka na Moyes. Bado naamini katika yeye kupewa muda, lakini imani inaanza kushuka kwa kasi sana. Na inazidi kuwa ngumu kuendelea kuwa na imani hiyo.

Kafanya upuuzi sana katika kufanya subs. Pamoja na makosa ya refa, United ilipokuwa 2-0 down, Moyes alipaswa kufanya sub. Anakuja kufanya subs dakika za lala salama, anamtoa Fellaini na kumwingiza Tom. Anamwacha RvP ndani, aliyekuwa kivuli tu, na kuacha kumwingiza Shinji.

Timu iliyoanza leo, ilikuwa ni the strongest katika msimu huu. Sasa naamini, shida yaweza kuwa ni kwenye tactics za Moyes.

Game ya J5 hakika inaweza kuamua fate ya Moyes pale OT.

Anyway, msimu huu, tayari nimeshaweka silaha chini. Ngoja msimu uishe, tuone kama bodi itamwamini kwa kumpa mamilioni ya paundi kujenga timu, ama katika bodi kutakuwa na mtu mwenye kifua cha kumwambia SAF ulichemsha, na tunahitaji kocha mpya.

Ngumu sana kumeza kwa kufungwa na loserfools.
 
Man utd michosho kweli, mnafanywa ngazi ya kubeba kombe old trafford.. nilitegemea draw anyway ngoja tuwagonge spurs kwao

Loserfools hawana ubavu wa kubeba kombe. Ubingwa wao utakuwa kumaliza juu ya United tu.

I would rather prefer Chelskis to win the title than loserfools, goons or shitty.
 
2'
Goal! Tottenham Hotspur 0, Arsenal 1. Tomas Rosicky (Arsenal) right footed shot from the right side of the box to the top left corner. Assisted by Alex Oxlade-Chamberlain walau Kuna matumaini kidogo.
 
1781884_10153914213815508_1218012913_n.jpg
 
Loserfools hawana ubavu wa kubeba kombe. Ubingwa wao utakuwa kumaliza juu ya United tu.

I would rather prefer Chelskis to win the title than loserfools, goons or shitty.

Chelsea wakilibeba itakuwa mbaya....
 
Kwa mara ya kwanza, naanza kuwa na mashaka na Moyes. Bado naamini katika yeye kupewa muda, lakini imani inaanza kushuka kwa kasi sana. Na inazidi kuwa ngumu kuendelea kuwa na imani hiyo.

Kafanya upuuzi sana katika kufanya subs. Pamoja na makosa ya refa, United ilipokuwa 2-0 down, Moyes alipaswa kufanya sub. Anakuja kufanya subs dakika za lala salama, anamtoa Fellaini na kumwingiza Tom. Anamwacha RvP ndani, aliyekuwa kivuli tu, na kuacha kumwingiza Shinji.

Timu iliyoanza leo, ilikuwa ni the strongest katika msimu huu. Sasa naamini, shida yaweza kuwa ni kwenye tactics za Moyes.

Game ya J5 hakika inaweza kuamua fate ya Moyes pale OT.

Anyway, msimu huu, tayari nimeshaweka silaha chini. Ngoja msimu uishe, tuone kama bodi itamwamini kwa kumpa mamilioni ya paundi kujenga timu, ama katika bodi kutakuwa na mtu mwenye kifua cha kumwambia SAF ulichemsha, na tunahitaji kocha mpya.

Ngumu sana kumeza kwa kufungwa na loserfools.

Mkuu Nzi kuna tuliyaona haya mapema sana round ya pili ya msimu huu ilipoanza nilienda mbali mpk nikaanzisha uzi humu hila kuna baadhi ya mashabiki wanaojihita royal fans ambao wanafumbia madhaifu ya Daudi kwa kigezo kuwa ukiwa shabiki unatakiwa kuvumilia vipigo tu..
Moyes he gotta all the time of the world lakini kashindwa kuprove himself kama ni the right person kuvaa viatu vya SAF...
Na Moyes simuhukumu kwa matokeo namuhukumu kwa game plan zake kila baada ya mechi moja...na psychology ya wachezaji under moyes...
Leo Man United kushinda game moja ni headline ya wik nzima..maana tumebahatisha
 
Hehehehe Nzi nilikwambia humu utabaki peke yako ulisema utatembea uchi LFC tukishinda naona ulimwambia Admin aivunje Jamiiforum kwa muda sio watu wasije humu 3-0 LFC! YNWA! Nyie ni Everton “B”. Moyes is a Legend!
 
Kwanza kadi nyekundu Moyes alikuwa anaitaka mapema ili labda apate kisingizio...Rafael alionesha dalili zote za kulambwa red lakni alimuacha Tu...kadi nyekundu imetoka kwa beki mda mrefu anakuja kufanya sub muda wa Lala salama
 
Back
Top Bottom