Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh naomba Mungu Moyes asiibadili timu ya ushindi ibaki hivi hivi Liverpool watakimbizwa mpaka watajuta.
 
As long as Arsenal wakiwin vs Tottenham, ntawatakia Man utd ushindi au Draw. Tusubiri kesho.
 
Bring on the loserfools...

Cc: Pazi
sawa manure united sie Tupo Keesho nitakuja mpira ukiiisha najuwa wewe utakuwepo wenzako hawatokuwepo baada ya full time mkishinda najuwa mtajaa Humu Kama Thred ya Arsenal.
 
As long as Arsenal wakiwin vs Tottenham, ntawatakia Man utd ushindi au Draw. Tusubiri kesho.
Dua yako itaisha kwenye draw ndio ushindi wa man united Keesho analala 2-1 au 3-1 Raheem Keesho ni kukimbiza tu.
 
Nitatembea mtupu humu jukwaani loserfools mkishinda...

Kitu nachofanya sasa ni ku-mark maneno yako. Kengele utaziachia hizo wote tuzione.
Hey suarez,kuna mtu anataka kudhalilika huku...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Dua yako itaisha kwenye draw ndio ushindi wa man united Keesho analala 2-1 au 3-1 Raheem Keesho ni kukimbiza tu.

Weekend inaspuned out kuwa very interesting baada ya kipigo kwa Chelsea.... Ingawaje sitochukia mkibeba kombe kama tukibeba FA Cup lakini kwa msimamo wa ligi ulivyo,kesho siwashangilii... Naona Jose Mourinho analia ktk press...." I prefer not speak, I prefer not speak about the ref... cha ajabu anageuka kuwalaumu....Nasubiri nione kama watamwita whinner, sore loser kama wanavyomsemaga wenger....
 
Kesho nitaishangilia Arsenal....

Leo Cardiff wameniangusha, hivyo kesho msiniangushe.

Kesho ushindi lazima hata kwa kuuwa hewa..... kupata Europa spot kwenu bado ni ngumu,
 
Kesho nitaishangilia Arsenal....

Leo Cardiff wameniangusha, hivyo kesho msiniangushe.

.....hehehh

Nawatakia Ushindi mnono dhidi ya liverpool.
Kazeni buti!
Belo, chajisha simu yako na mapeeema!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
kupata Europa spot kwenu bado ni ngumu,

It is doable. If we beat loserfools today, we will be 2 points behind Spurs (if they lose against Arsenal). With 1 game behind Spurs, if we win that game, then United will have 54 points, 1 point lead over Spurs.

With the current form, we can beat Everton and Newcastle. That could be make 5th spot assured. Any mistakes by the 3rd and 4th teams could mean UCL spot for United.

Just thinking like an optimistic #ManUnited supporter.
 
[/h]
.....Dahhhh, anakejeli sana huyu jamaa sasa....hebu mzibeni mdomo kidogo leo, hehhheehhh!!

Huyu dawa yake itaipata leo..

Analeta jeuri ya kuwa juu ya United....

Naona akimaliza juu ya United ataweka historia mpya (katika kipindi cha EPL) pale bwawa la maini.
 
It is doable. If we beat loserfools today, we will be 2 points behind Spurs (if they lose against Arsenal). With 1 game behind Spurs, if we win that game, then United will have 54 points, 1 point lead over Spurs.

With the current form, we can beat Everton and Newcastle. That could be make 5th spot assured. Any mistakes by the 3rd and 4th teams could mean UCL spot for United.

Just thinking like an optimistic #ManUnited supporter.

Well said mkuu
Kama MUFC fan naposikia kauli zenye matumaini kama hizi napata nguvu zaidi ya kuendelea kuisupport timu yangu...
#moyesout
 
Back
Top Bottom