Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah.. afadhali sasa nimejua timu sio mbaya,mbaya ni kocha. Fellaini alikuwa kwenye kiwango cha juu sana leo.alikuwa anatacle mipira mingi pale katikati,anapanda anasababisha mashambulizi eti anamtoa anamuingiza cleverly what a shame...moyes..au ndio huyo phil nevile anakudanganya hizo sub ili uchemshe aachiwe yeye timu!!!. Na jumatano utashangaa anapanga kikosi cha ajabu ajabu wakati anajua kabisa man u kombe tulilobakisha na tuna uhakika wa kulichukua ni uefa pekee!!

hatuna uhakika mkuu huko ni kujifariji tu,tumeshindwa maini tutaweza mfupa???
By the way jitihada haizidi uwezo ikiwa tutabahatisha kupita hapa basi next stage nakuapia tunatoka,huu ndo ukweli hata kama ni mgumu kumeza.
 
Yaani jana ile ndo first eleven yetu ya uhakika na ya kutegemewa still timu haina teamwork kabisa yaani hamna hata uwezo wa kupiga pasi walau 7,kwa kifupi timu haina chemistry na ni timu nzima wamecheza chini ya kiwango ukimuacha rafael de gea na kidogo rooney ila wengine wote floppy,
kinachoniuma zaidi ni kagawa kuwekwa nje kila mechi haonekani umuhimu wake najaribu kuwaza yule dogo kamakosea nini kocha ??? Kiasi ya kuadhibiwa namna ile tunajua man u ina namba kumi wengi so yeye hawezi kucheza hiyo namba tumpange basi hata namba nane najua yeye ni mzuri wa pasi fupifupi walau itatusaidia kukaa na mpira muda mrefu na wachezaji kujiposition sehemu zao.walau inaweza kupelekea kupata magoli.

what i see ni kwamba rvp iwango kimeshuka sana(hajui afanye nini na wakati gani) ila nahisi ni flustruation ambazo anazo
 
Subiri 2016
 
Wenzio Liverpool weshazoea maumivu since 1991. Arsenal since 2006. Zamu yako sasa

yah najua hilo mkuu ndo najaribu kuzoea hali lakini nashindwa shida haizoeleki tunahitaji misimu kama 2-3 hivi ya kujipanga turudi kwenye makali yetu,so kwa sasa na msimu ujao hatuna chetu tupo tu kama washiriki
 
End this Moyes project. Go get Di Canio or Benitez ili muanze kushinda tena
 
and man utd is paying moyes for what he has been doing.
Lets hope he will be sacked at the end of this season otherwise we are going to have another disapointing season.
 
He won't be sacked! Babu Fergie has urged the owners to give him more time.
By the way how many years did it take Fergie to win his first title? The answer is 5.
So you guys need to be patient till at least 2019
 
yah najua hilo mkuu ndo najaribu kuzoea hali lakini nashindwa shida haizoeleki tunahitaji misimu kama 2-3 hivi ya kujipanga turudi kwenye makali yetu,so kwa sasa na msimu ujao hatuna chetu tupo tu kama washiriki

Mkuu usijipe moyo...mtakaa sana zaidi ya misimu hata 10, mark my words! Labda mfanye massive investment kitu ambacho you are not used to. This is the beginning of the end of ManU era...
 
Kikosi cha jana naweza kusema ndio first eleven ya Man.Ni wazi RvP kiwango kimeshuka sana msimu huu hana confidence kabisa akipekewa mipira anakosa maamuzi ya haraka utadhani ni mchezaji mwenye umri wa miaka 18 !.Januzaj jana alitakiwa kutolewa kipindi cha kwanza lakini kwa mshangao anatolewa Fellain sijui labda aliumia sana lakini sikutegemea Cleverly achukue nafasi yake afadhali angeingia Kagawa.

Hivi Kagawa kamkosea nini Moyes au katembea na binti yake au kakosoa mbinu zake nashindwa kuelewa huyu Moyes ana mipango gani na sisi.Van Parsie alipaswa kutolewa ndani ya dk 25 za mwanzo.Bora tuondolewe ECL tusije kutana na Real au Bayer yatakuwa mauaji ya kutisha.
 
consider it done,jitihada haizidi uwezo.
 
kagawa leo katimiza miaka 25 ni birthday yake.so happy birthday to him.kuhusu hilo la kagawa nishalizingumza kocha hajitambui nahisi kitu cha muhimu ambacho anapaswa kufanya kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kama anafuatilia kwa makini dm basi ni kubadilisha benchi la ufundi coz halimshauri kitu,siku ambazo anapanga kikosi sahihi na kufanya sub sahihi zinahesabika hazizidi kumi toka aichukue man u,so to me naona benchi la ufundi linamwangusha sana kwenye kumpa ushauri wa kufanya maamuzi.rhough na yey pia ni zezeta ila walau ukipta mwenye akili mmoja anaweza kukusaidia kulik kuwa na wote mazezetta.
 
Back
Top Bottom