Mkuu unamsahau valencia ni muhimu sana kupeleka presha mbele na anakaba kwa nguvu na ukizingatia rafael tayari ana woga wa kadi ya pili presha itapungua sana huku kulia.
Jones' mistake....
Sijawahi kuangalia mpira kwa wasiwasi kama leo....
Afadhali umekiri mwenyewe mkuu...
wine romney mbona analia..
Johnson, handball or ball to hand?!