verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,246
Nadhani tumeelewana sasa kwamba shida sio kapteni la dunia
Kosa la Nani? Ikiwa kocha ndiye ana Power ya kuwaleta ,mzigo mnambebesha GrazzerTuongee ule ukweli ,timu nyingi zilikuwa na majina kwa kuwa zilikuwa na wachezaji bora na wapambanaji.
Kizazi hiki madogo wanapiga pesa ila uwezo mdogo kabisa Mfano Athony yani anakosa magoli kwa upigani wa hovyo hata kupiga long shots za maana yaani hamna kitu.
Wengi pale 90% hawastahili kucheza Man utd .
Hakuna kocha hapoKosa la Nani? Ikiwa kocha ndiye ana Power ya kuwaleta ,mzigo mnambebesha Grazzer
Ndio maana Kuna watu walisema kwa usajili huu ni Kama amesajili mchezaji mmoja tu ,Onana, huenda wakawa sahihi
Anzeni na kocha kabla ya wamiliki
Kocha kasapotiwa
€85m kwa CF
€100M kwa RW
€55m kwa GK
€60m kwa Kiungo
Bado mnalalamika wachezaji wabovu ,Nan anawaleta
Tulivowaambia 7hag ana mpira wa janjajanja walituona tunawaonea gere kwa mpira wao wa ajabu kupiga mapasi marefu rashid achomoke.Kosa la Nani? Ikiwa kocha ndiye ana Power ya kuwaleta ,mzigo mnambebesha Grazzer
Ndio maana Kuna watu walisema kwa usajili huu ni Kama amesajili mchezaji mmoja tu ,Onana, huenda wakawa sahihi
Anzeni na kocha kabla ya wamiliki
Kocha kasapotiwa
€85m kwa CF
€100M kwa RW
€55m kwa GK
€60m kwa Kiungo
Bado mnalalamika wachezaji wabovu ,Nan anawaleta
Hii nimecheka sanaMlikua mmeshaanza kunenepaView attachment 2722411
Timu iliyumba sababu kubwa ni key players kuuzwa (De Ligt,De Jong ,De Beek,Ziyech) waliuzwa baada ya yale mafanikio na DOF Overmars kujiuzulu baada ya scandal ya kwanyanyasa wafanyakazi wa kikeNashindwa kuelewa tatizo la hii team. Kocha ten hag namkubali na kumwamini sana nikikumbuka kazi zake na ajax kwenye uefa.
.ajax haina misuli ya pesa kama man u
.uwepo wake pale ajax alichukua ubingwa mara 3 mfululizo
.alipoondoka tu, ajax imeyumba.
.show yake uefa tulikuwa tunaiona hasa alipowavuruga vigogo ulaya kama madrid, chelsea, tottenham, n.k.
hili tim la man u lina tatizo gani mpaka inakuwa hivi?
Chai.View attachment 2722464
Dahh nyumbu
Tajiri ndio anaewafundisha wachezaji kuruka ruka uwanjani!?Kosa la Nani? Ikiwa kocha ndiye ana Power ya kuwaleta ,mzigo mnambebesha Grazzer
Ndio maana Kuna watu walisema kwa usajili huu ni Kama amesajili mchezaji mmoja tu ,Onana, huenda wakawa sahihi
Anzeni na kocha kabla ya wamiliki
Kocha kasapotiwa
€85m kwa CF
€100M kwa RW
€55m kwa GK
€60m kwa Kiungo
Bado mnalalamika wachezaji wabovu ,Nan anawaleta
Huyu nae kama mwehu wachezaji walioondoka bure msimu uliopita unamlaumu vp kocha?Tajiri ndio anaewafundisha wachezaji kuruka ruka uwanjani!?
Nenda kaziangalie BRIGHTON Newcastle Brentford na Tottenham zilinganishe na MANCHESTER ni nani katumia hela kwenye usajili!?
Ni nani ana kikosi cha bei mbaya!?
Ni nani alieoza UWANJANI kati yetu sisi wenye mwalimu ten HAG na wao .
Ipi timu isiyokuwa na maajabu yoyote UWANJANI.
Kisha utasema TATIZO ni matajiri hapo!?
Wacheni kuishi kwa kukariri matajiri hawachezi MPIRA.
Ten hag kwanza hata jicho la usajili hana ni anabahatisha mnooo.
Kuoandisha viwango wachezaji pia hawezi.
Tunamlaumu sancho kila siku kumbe sancho ni kakosa mwalimu tu.
Maguire nae kakosa mwalimu tu.
Kwa ten hag ikiwa ronaldo kafeli nani mwengine atakaefaulu!?
Matic pogba mata wote kawatoa na sasa kamtoa FRED.
Kisha nenda katazame aliowaleta na tazama kazi zao wanazozifanya uwanjani kisha linganisha na wachezaji aliowatoa ni sawa!?
Kauza ZIDANE IQBAL kwa bei ya mkaa na juzi kamtoa kipa bora kabisa matej kovar.
Na sasa anataka kipa mwengine na KIUNGO je pana kocha hapo!?
Msimu uliopita UNITED imebebwa na dua tu sasa sijui msimu huu kama mungu ataziskia pia dua zetu au atawaskia Chelsea![]()