Mou mpeni maua yake, akiwa na mbovu ya akina Valencia, Ashly Young, Phil Jones and Comp. alibeba Europa. Alipozungumzia football heritage, watu hawakuelewa. Pamoja na pesa nyingi Man Utd wanazotumia kwenye usaji, bado shape ya timu haipatikani.Kweli wahuni sio watu.
Erick Shigongo tunakukumbusha tu hicho kiti unachokikalia walikishindwa kina Ralf Rangnick, Ole Gunnar Solskjaer, Jose Mourinho, Louis van Gaal na David Moyes. View attachment 2722091View attachment 2722092
Cheki huyu kiazi ...City leo anaweza kufa kweli
Jasusi SelemaniiJasusi kama Jasusi likiwa kazini, piga kazi baba. View attachment 2722295
Tuongee ule ukweli ,timu nyingi zilikuwa na majina kwa kuwa zilikuwa na wachezaji bora na wapambanaji.Tatizo la Man U sio kiungo wala beki kwa sasa, tatizo lipo kwa streiker kama ni kufungwa liver na man city huwa wanafungwa sana ila streiker wao pia wanafunga na ndio maana tunawaona bora. Tuna winger wazuri ukiachia tia maji tia maji Rashford na Martial ila kama hatuna straiker mzur wa kuwapa tension mabeki pinzani hata hawa mawinga tutawachukia bure. Leo tumecreate nafasi nyingi ila mfungaji hatuna. Naimani Hodjlund akipona akacheza na winga Sancho na Garnacho tutafunga sana