Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Timuatimua nayo si nzuri acha tumpe na huu msimu ajirathmini mara ya mwisho.Kweli wahuni sio watu.
Erick Shigongo tunakukumbusha tu hicho kiti unachokikalia walikishindwa kina Ralf Rangnick, Michael Carrick, Ole Gunnar Solskjaer, Jose Mourinho, Louis van Gaal, Ryan Giggs na David Moyes. View attachment 2722091View attachment 2722092
Na United sio kocha tu anayepaswa kuangaliwa kwa ukaribu inatakiwa kufumuliwa upya kama alivyosemaga CR7 na hii inaanza na Glazers kutoka.
Then waletwe watu wa mpira wasaidiane na kocha kutafuta watu sahihi then tufanye kama Chelsea tunasajili hata wachezaji 12 ambao wanakuwa na uhakika wa kuanza first 11 kisha zile deadwoods zinazokataa kusepa zitolewe kilazima.
Chini ya Glazers hata baada ya Ten Hag wanaweza kuja makocha wengine nao tukawaona hawafai.



ally pipi