Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,495
Timu iliyumba sababu kubwa ni key players kuuzwa (De Ligt,De Jong ,De Beek,Ziyech) waliuzwa baada ya yale mafanikio na DOF Overmars kujiuzulu baada ya scandal ya kwanyanyasa wafanyakazi wa kike
Frank De Boer alichukua ubingwa wa Holland misimu 4 mfululizo lakini alishinda game 1 tu EPL
sasa unadhani hao key player wakati wanauzwa kocha alikuwa hawahitaji?
nadhani nafasi ya kocha katika kuleta na kuondoa wachezaji ni ndogo sana kwa sababu pamoja na kutoa mapendekezo yake,bado itategemeana na uwezo wa kiuchumi wa timu.
na pia hata ukisema awaondoe wachezaji bado ni ngumu kwa sababu inapaswa kuwalipa kuvunja mikataba yao kitu ambacho kipo nje ya uwezo wake.
na kama ulivyosema mafanikio ya ajax yalisaidiwa sana na yule sporting director aliyejiuzuru, basi mwenye nafasi hiyo pale man utd ndo anapwaya.
sioni sababu ya kumlaum kocha hapa japo ndio anabebeshwa lawama.