Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili pila gwaride TH akiendelea mwezi wa 12 ataondoka.

Man u tunacheza mpira kama tuko championship. Tim ina laana hii *****

Match day 4 Arsenal, tutapigwa tufe
 
Aibu mbona ilipatikana msimu uliopita kwa kupigwa 7-0, na kwa aina ya hii timu kuna kupigwa 10 msimu huu.
Niliwaambia humu majuzi game ya wolves kua kuna siku wasipo kua makini watakula double figures ya magoal.

Man u ukiangalia kikosi chao bado wana Takatak nyng sana wanazikumbatia.

Ifike sehem wachezaj wengne unawavunjia hata mkataba unamlipa hela zake zote unamwambia sikutaki we ondoka tu.
 
Hii front 3 haitatupa cha maana. Rashford anapoteza sana mipira na nafasi za kufunga.

Ningekuwa kocha Garnacho, Rashford & Antony hawarudi 2nd half.

Toa Rashford weka Bruno uongo 9, Sancho LW, Pellistri RW & Eriksen #10.

Bruno anapiga mpaka Rabona halafu kuna kiazi kinakosa na ndio striker.
Yaani huyu kocha anauzembe, nimeshangaa Garnacho na Rashford..
.watu wanamlaumu mount ila shida ni washambuliaji
 
Naona sasa akili zimeanza kuwakaa sawa.

Tutaelewana tu kidogo kidogo
Mkuu wewe waache nikiongea Mimi wanasema nachuki, ukiongea wewe unashambuliwa

Ten Hag to be sacked by Christmas, Man United have no visible style of play
 
Physicality waliyonayo Spurs ni bora, Man Utd wako nyonde nyonde.. niliwaambia mapema sana, Spurs ya sasa sio ile butua butua ya Conte, asaivi wana mpira wa mipango, linawekwa pira chini unaona!
 
Back
Top Bottom