Kuhusu hilo wala cha kuwaza tu maamuzi ila akirudishwa kufikia January anakuwa ameingia first 11.
Kocha ameangushwa na Antony hawezi kumuchia kijana kizembe hapa anasubiri tu decison ya uongozi kwa hili.
Ukweli mchungu huu
Japo tuna except alot improvement kutoka kwa dogo antony s
Sababu ile price... Haikuendenda na performance yake aliotunesha last season
Yes the kid did alot of beautiful things in terms of soccer alileta balance kwenye team hususani upande wa kupress kule mbele dogo ni mkali wa ku press inapelekea kuona umuhimu wake ulivo mkubwa pale ambapo atafanyiwa substitutions team ina drop kidogo na tunaanza kupigwa msako
Refer ile game ya arsenal 3-2 baada antony kutoka zincheko got himself to his level best on ball distribution that lead to chaos pale mbele
BUT..kweli dogo tunamtaka akabe sana kuliko kutoa assist na kufunga kitu ambacho kitatuongezea goal tally ...the answer is no na hapo sasa ndipo tunapo muhitaj Greenwood the lethal goal mashine... Uwepo wake naamin utaleta challenge nzur sana na tutamfaidi antony vizur sana sababu..hatuna mashaka sana na uwezo wa watoto waki brazil nivile utoto tu na kukosa Compsture mbali mbali hudidimiza vipaji vyao
Na ETH analijua hilo kuwa yeye ndio mwenye kubeba huo mzigo wa lawama or else he got to prove to us the Fans kuwa
The boy Antony was and is a perfect signing...
Apart from that naona kabisa coach anamuhitaj sana Greenwood kama busta ya attacking package yakule mbele
Ila tu hawez toka hadharan na kusema he needs the boy
Japo sijajua why anashindwa kuongea direct how important the boy will be to his game plan and philosophy kwa ujumla
Yee anasema kuwa nilisha zungumza na sito zungumza tena kuhusu hilo swala... It becomes very tricky kumuelewa