HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Hawa manyumbu tunapaswa kupractice long range lob shots maana tunajua watakuwa wanacheza na outfield players 11 na bila kipa. Tunamjua Onana ni outfielder aliyekosa namba tu na kusabibisha akae golini hivyo kama kawaida yake atakuwa anatoka golini na kuingia ndani kucheza favorite position yake ya midfield. Sisi kazi yetu ni kumtegea na kuchungulia tu afu tunapiga long range lob shots zetu.
