El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
Hatuna wachezaji wa anasa kama City mkuu. 4-2-3-1 na 4-3-3 ndio mifumo tutakayotumia. Sijaangalia sana pre season ila Sancho false 9 na huyu Hojlund anayekuja plus Weghorst msimu uliopita na mifumo ya Ajax kumtumia Tadic kama Striker inaonesha ETH sio muumini wa mtu akae mbele, anataka Striker ambaye ana contribute kwenye Build up, Kukaba na kutengeneza, so sio rahisi kutumia Attacking Mid wanne
ETH nadhani sio fair kumfanyia Comparisons na Pep kwa Style ama execution ya Game Plans zao, ETH anazingatia zaidi Build~Up na High Tempo (Still anapenda Badilika kulingana na Mahitaji ya Game) na ndo mana Ajax I {18/19} na Ajax II { 21/22} zina tofauti kubwa sana kiuchezaji, ETH Ni zaidi Copy ya Klopp zaidi kuliko Pep!Hatuna wachezaji wa anasa kama City mkuu. 4-2-3-1 na 4-3-3 ndio mifumo tutakayotumia. Sijaangalia sana pre season ila Sancho false 9 na huyu Hojlund anayekuja plus Weghorst msimu uliopita na mifumo ya Ajax kumtumia Tadic kama Striker inaonesha ETH sio muumini wa mtu akae mbele, anataka Striker ambaye ana contribute kwenye Build up, Kukaba na kutengeneza, so sio rahisi kutumia Attacking Mid wanne.
AJAX I {18/19} Hii mostly ETH alitaka iwe Possession based Team kwa aina ya wachezaji Yupo nao alikuwa anapendelea zaidi muonekano wa 4~2~3~1 sababu Double Pivot ya Larse Shonne na De Jong ni Tactical na all around midfielders ni Hybrid #6&8 na juu yao ni Ziyech, Tadic, Neres na Donny alikuwa anacheza ile kushambulia nafasi,
AJAX II {21/22} hii ndo kitu anakileta Man U, mana Ajax hii ilikuwa more inacheza 4~1~2~3 (Marzoui, Timber, Licha, Blind, - Alvarez - Gravenberch, Berghuis, - Tadic, Haller, Antony) na ndo UTD ya season hii anaitengeneza kwa Image hiyo, ETH anataka timu inapopata Mpira inaenda shambulia kwa kasi yani def action ikikamilika within 8 seconds wawe wamefanya Attacking action, na ndo mana anasema anataka UTD iwe "Best Transition Team" In the world
Ujio wa Amrabat sio kuanza but ni kuwa na Depth inapotokea ishu ya Suspension ama Injury kwa Casemiro Ubora usipungue kama Msimu huu uloisha mana Game nyingi alokosa jamaa UTD iliwacost Points Nyingi.