Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Kwa United nasubia tu maajabu. Arsenal mna kikosi kizuri ila bado sina imani na defence na midfield yenu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mnanishangazaga Sana mbona toka pre season tuliwaambia na tuliweka ushahidi wa kimazingira ,kwanini tunaenda kugombea ubingwa
Maandiko yapo , audio kule space zipo
Msimu huu tumesajili zaidi ,haihitaji ramli kujua tunaenda kupigania ubingwa no matter what
Maombi yetu sisi wahafidhina wa football ,mancity aondokewe na Gundo Bernado mahrez , amebaki Bernado
Wanaochungulia mpira kwa jicho la 3 wanajua kabisa kuondoka kwa Gundo, mahrez na Bernado ni pengo kubwa Sana kwa city ,
Manjesta kitakachowaua ni depth ya kikosi ,
Niambie Casemiro aki drop au suspension zake zile au injury mna replace na Nan? Amrabat?
Kule mbele bado historia inaonesha Rashford Hana consistency yakueleweka na ndiye mbeba maono wa manjesta
Japo kiuhalisia kabisa
Arsenal, mancity , manjesta ndio favourite kwa kugombea ubingwa
Newcastle msimuhesabie kwanza ana michuano mingi pili Hana depth yakutosha ,halafu kule UCL wamemuweka pot 3
Man City mimi naona kama shughuli yao imeshaisha. Akiondoka Bernardo watawashiwa moto mkali sana. Timu nyingi zinapocheza na City zinafungwa kwasababu ya uoga. Sasa makocha wakishaona wana mapungufu soon wataanza kupishana na Guardiola.