Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,144
- 43,864
Casemiro ni Usajili wetu kwa ninavyofahamu, Kwenye interview ya Fred jamaa alisema toka May tulishamalizana naye ilikua tu ni sisi kumalizana na madrid ndio ilichelewa sababu ya usajili wa FDJ.Upo Sahihi Chief kwenye Mengi hasa la FDJ na Aina za Sajili ila nataka ongeza kidogo katika hili, ntaanza trace since amekuja ETH,
Kwa nini nasema ETH ni Replica zaidi ya Klopp kuliko Pep,
Mosi~ Ni aina ya Characters Wanazitaka katika Dressing Room {Pep alipofika tayari ni Superstar na hata timu Nyingi anakuwa center of attention ni yeye so kila analotaka anapata na hili ni matokeo ya Structure nzuri ya management City {Uwepo wa Sorianno na Txiki}
Kwa Klopp na ETH ipo tofauti kidogo kwa sababu wao wanaamini katika High Tempo Games, na ndo mana sajili nyingi since ETH amekuja EPL zinahusishwa kwa wote, Mf. Nunez, Gakpo, Mount, Amrabat ni wachezaji ambao wamehusishwa na timu zote.
Kumkosa FDJ ambae kwa mimi naamini ndiye Best CM in the World, ETH ali-switch kwa Casemiro na akasuprize Wengi mana kama unavyosema juu amesajilia Press Resistant ila kwa Casa ni tofauti kabisa {Hii inamanisha alianza angalia Nature ya timu, So akaleta zile Characters ambazo zinauishi Mpira, Casa ni Born Winner, Licha ameongeza mengi sana Kwenye Back line, na kadiri anazidi fanya Sajili unaona uelekeo ni ule wa Characters zaidi pamoja na Uwezo wa ku-accomodate mahitaji ya Mwalimu, Angetaka Progressive CM's Angeenda kwa Kina Enzo la Fee, Seko Fofana, Maxence Caqueret, et al
Nizungumzie Dirisha Hili, Ujio wa Mount unamaanisha kwamba Yeye na Bruno wanakuwa ni Injini mbele ya Casemiro ili kuzuia fast Breaks wanaanza fanya Counter Pressing {Hapa tunakubaliana kuhusu Stamina wako nazo Mount na Bruno na lengo kubwa ni kuweza tengeneza Structure ya 3~1~6, na 3~2~5 akiwa anashambulia na 4~4~2 & 4~4~1~1 Hybrid akianza fanya Pressing or Counter Pressing} Mahitaji yameainishwa tangu mwanzo ni GK, RB, CB, CM na ST na amepata walau 60% ya Majitaji yake. Na ukiangalia ETH alikuwa anamtaka Zaidi Timber ila dili ilikuwa Complicated sababu ya Kauli za Van Gaal, Licha amemsajili kwa Opportunity ya yeye kuwapo Sokoni,
Pep anafanya Transition ila utofauti wake na Klopp na ETH anataka Game yake itawaliwe na Possession mostly, Ila ETH na Klopp wanataka CONTROLS Games ila isiwe na Bored Passes Nyingi ni ukikaba Tunakuja ndo tofauti ya Hao mabwana, Na Pep niliona juu kuna mjadala wanasema hajasajili anamng'ang'ania Josko ila Wengi hawajawaza Impact yake{Hii ni mada Nyingine} Mostly timu ya Pep inadepends kwa CM's ila ETH na Klopp wanataka MD's Ziwe ni Injini ila Chance zitokee Pembeni kwa Fb's na Wings Zishambulie Pitia nafasi inayoachwa baina ya CB na FB's wa timu Pinzani! Pep anaprefer 3~2~2~3 na 3~2~3~2 ingawa na yeye amejua Uingereza njia bora ya Kupress ni Shape ya 4~4~2
Hapo mwisho ni sawa ulichoongea Pep ni Midfield na Klop ni pembeni na midfield zake zinakua ni Engine, na hapa pia ndio unaona ETH sio kama Klop tu ni blend ya wote na ana vitu vyake vya ziada
Source yetu ya creativity ni Bruno na sio Malacia, Shaw, Bisakka ama Dalot, ingekua mfumo ni kama wa Klopp Shaw angekua muda wote anashambulia, uwezo anao ila most of time Full back wa ETH anasaidia Midfield hasa akicheza Eriksen Malacia anakua kama Nusu Midfield same na Mfumo wa Pep.
Sisi tumecheza na 10 msimu uliopita bruno na msimu huu tumeongeza Mount na Casemiro ni single pivot hii tunafanana na Man city zaidi (Rodri single pivot na mbele yake Gundogan na Bruyne) kuliko 3 man midfield ya Klop bila No 10.
Ila pia tunatumia Winga zinazoingia ndani kama Rashford na Antony, pia Striker wa ETH anashuka chini kutengeneza nafasi kwa watu wa pembeni hii ni sawa na Klop na Firminho ama Nunez.
Pia FDJ na hata Eriksen ni midfield laini hawa hawachezi timu ya Klopp ila wanaelweza cheza kwa Pep mifumo yao.
So mkuu hakuna comparison 100% ya Eth na hao jamaa wawili.
#mufc are waiting to sell Fred and it will 100% happen. It's difficult with Galatasaray, but other clubs are entering the race. 






Albert Botines (Andre Onana’s agent): “Towards April, many clubs inquired about Andre. Tottenham have asked for information, Chelsea have had a very strong interest. But Erik ten Hag was key of this deal. We are looking forward to win titles with #mufc. We have a great desire to rock.” 
stats: