hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Rashford nae muangalien ,mm namuitaga uyoga,leo chakula kesho sumuKazi ya Onana sio kufanya tuutawale mpira, kazi ya Onana ni kuzuia mpira usiingie wavuni, so far kwa hizi mechi mbili alizocheza kashindwa kutekeleza majukumu yake
Na huyu ndiye kaibeba timu yenu Sana last season,
Rashford hakawii kurudi kwenye default settings, hapo changanya na ujinga wa Anthony,

wengi hamtoamini
OFFICIAL: The new #mufc - Adidas partnership is worth at least £900M for 10 years subject to certain adjustments.





