hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,295
- 26,695
Hiyo Ni michezo ya mancity Katika kubalance vitabu vyao ,bado mancity anatafuta engagement kwenye soko la ku spend asionekane mchafuzi,Chief-Mkwawa nahitaji neno lako hapa, hii movie nashindwa kuielewa kwa mara nyengine.
Ilianza kwa bazunu na lavia msimu uliopita, Msimu huu imeendelea kwa goalkipa anayeitwa trafford kuelekea burnley inayofundishwa na kompany pamoja na huyu mwengine.
Je man city wana network bora ya soka la vijana kwa sasa pale uingereza?
Je man city wana team bora ya kusimamia mchakato wa usajili?
Au kuna mchezo tusioufahamu wanatuchezea, unatoaje hela ndefu kama hiyo kwa mchezaji ambaye hajacheza hata mechi moja ya ligi kuu?
Kwa nini man utd tushindwe kufuata nyayo zao?
View attachment 2681097
Unaweza kuta Ni kweli anauzwa hiyo Bei lakin inalipwa miaka 10, kwenye vitabu huku city anaonekana kauza kwa £19m ,mwisho aonekane kauza jumla £100m
Klabu Kama hizo zinaitwa PLASTIC CLUB na zinazalisha PLASTIC FANS , na huwa Kuna muda utafika zinarudi ziliotoka , hata Chelsea inarudi ilipotoka


