Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief-Mkwawa nahitaji neno lako hapa, hii movie nashindwa kuielewa kwa mara nyengine.

Ilianza kwa bazunu na lavia msimu uliopita, Msimu huu imeendelea kwa goalkipa anayeitwa trafford kuelekea burnley inayofundishwa na kompany pamoja na huyu mwengine.

Je man city wana network bora ya soka la vijana kwa sasa pale uingereza?

Je man city wana team bora ya kusimamia mchakato wa usajili?

Au kuna mchezo tusioufahamu wanatuchezea, unatoaje hela ndefu kama hiyo kwa mchezaji ambaye hajacheza hata mechi moja ya ligi kuu?

Kwa nini man utd tushindwe kufuata nyayo zao?
View attachment 2681097
FFP rules Man city wanafanya mchezo tu ili hesabu zibalance
 
Kibonge sancho
20230708_162729.jpg
 
Haya De Gea kashaondoka tuone kama tatizo la United lilikuwa ni De Gea

Anakuja Mcameroon ila akumbuke ile sio ligi ya Uholanzi

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Tupo tayari kumkaribisha Onana, but akae akijua

*shot on target yoyote ni kosa lake (kashindwa ku command back line yake)

*Ikitokea free kick imepigwa na ikalenga goli ni kosa lake (kashindwa kupanga vizuri ukuta wake)

*Goli lolote atakalo ruhusu ni kosa lake hata ikiwa ni maguire kajifunga.

*Mpira ukipotea katikati ya uwanja still ni kosa lake
 
Eric Steele: “I can only remember Sir Alex Ferguson missing two United matches. He missed a Manchester derby in 2000 for his son’s wedding. The other time? To scout the brilliant David de Gea.”

=======
Correction:
Ferguson alikosa mechi 3

1. Harusi ya mwanawe
2. Maziko
3. Kumuangalia de gea
 
Back
Top Bottom