hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Acha kulalamika,mancity anatafuta engagement angalau miaka mitatu au minne aonekane anafanya mauzo mazuri ya wachezaji , ndio maana unaona hanunui Sana ila anajifanya anauza had £100m lakin Ni vitoto vya academy ambavyo hata havijawahi kucheza mechi 1 ,Mmmaaamae halafu sisi tumemuuza Zidane Iqbal kwa kiasi cha chini ya £m1
Baada ya UCL kuanza kumtilia mashaka amekuwa anasajili kidogo lakin anajifanya anauza Sana , ili uefa wapunguze kumuhisi anacheza uhuni
Hata msimu huu subiri uone ,atauza hao watoto kwa Burney na Soton ambapo ndio mashimo yake ya kufichia taka
Halafu atasajili mtu mmoja kwa €100m
Mancity bado Hana Uwezo wakusajili kwa fujo bila kuuza ,hivo lazima afanye rafu ,itamchukua hata miaka 10