hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Subiri msajili ndio mseme hayo, subir mwisho upige Net spend tuone ukweli Ni upi ,Sometimes tusisikilizage upuuzi mwanzo walisema bajeti ya usajili ni €100-120m halafu kashasajiliwa Mount huku Onana soon akifuatiwa na Hojlund hapo jumla inavuka €150m+
Imekaa vp ama haters ndio walikuwa wanataka kutuumiza tu![]()

"Nimetia saini makubaliano ya kutofichua jambo lolote hadharani kwa hivyo siwezi kusema mengi. Lakini bado kuna mchakato - na tuko kwenye mchakato."












Manchester United's most expensive signings in history:
Pogba: €105M
Antony: €95M
Maguire: €87M

Lukaku: €84.7M
Di María: €75M

Fernandes: €65M

