Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Preseason training begins today.

#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2680106
Naliona kubwa la "Mabishoo" Martial hapo..

Sijui kama kutakuwa na clear out yoyote ya maana.
 
Hawana maneno mengi. United kumsajili Mount tu posts 20+
20230706_194422.jpg
 
Update ya takeover
92 foundation imekuwa registered ndani ya Cayman Islands ambapo ndio zilipo headquarters za Manchester United.

Hii imetoka mida hii source ni Oracle NYSE.

Maana halisi ni kwamba kilichobakia ni kuingizwa mtonyo tu na Qatari wajibebee timu

Achaneni na sources za UK wengi ni Anti-Qatar wanaleta updates negative tu
IMG_20230706_185341.jpg
 
Sometimes tusisikilizage upuuzi mwanzo walisema bajeti ya usajili ni โ‚ฌ100-120m halafu kashasajiliwa Mount huku Onana soon akifuatiwa na Hojlund hapo jumla inavuka โ‚ฌ150m+

Imekaa vp ama haters ndio walikuwa wanataka kutuumiza tu[emoji23]
 
Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
 
Subiri msajili ndio mseme hayo, subir mwisho upige Net spend tuone ukweli Ni upi ,
 
Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
Achen kujidanganya , ni mchezaji aliyetokeza zaid msimu huu Katika mechi 32 ana Goli 9 tu

Haja prove ili tujue Uwezo wake ,kwa ยฃ50m+ Ni utapeli tu

Mwaka Jana wakati Liverpool wanamsajili Nunez kwa โ‚ฌ80m nilisema Kuna hatari ya kupigwa sababu amefanya vzr msimu mmoja tu , lakin akawa anafananishwa na halland ambaye tayari alikuwa na 3 season kathibitisha ubora ule ule

Wachezaji wa one season wonder Ni 60% akafeli ,40% aka click ina depend na mazingira
 
Dr.Shika anaamini ataimiliki manjesta

Dr.Shika

๐—”๐—ธ๐—ถ๐˜‡๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‡๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ป ๐—จ๐—ป๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ

[emoji2788]"Nimetia saini makubaliano ya kutofichua jambo lolote hadharani kwa hivyo siwezi kusema mengi. Lakini bado kuna mchakato - na tuko kwenye mchakato."

[emoji2788]"Tuna ofa nzuri na tumekutana na Glazers mara kadhaa. Tumekuwa na mazungumzo mazuri nao.โ€

[emoji2788]"Bado tunapenda sana kuipambania nafasi hiyo tutafanya mambo kwa sababu zinazofaa. Lakini mwishowe ni uamuzi wao sio uamuzi wetu.โ€

Dr.Shika ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ผ๐—บ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—œ๐—ก๐—˜๐—ข๐—ฆ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ข๐—น๐—ฑ ๐—ง๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—น๐—ถ:?

[emoji2788]"Sikuwa nimefikiria hivyo, lakini hapana. Huo utakuwa uzushi. Nisingebadilisha. Daima ni Old Trafford."
 
Back
Top Bottom